Kamishna wa Polisi Tatu Rashid Jumbe anaweza kujaa kuwa IGP mzuri siku za usoni

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo.

Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
1733811760386.png
 
Picha yake iko wapi?
 
Dollar kiteleki angetufaa sema umri ushamtupa mkono.
 
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo.

Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
can you give an account of what she has exceptionally achieved, outstanding performance she has achieved so far? au ni porojo without proof na uchawa
 
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo.

Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
Hawa ni baadhi ya masalia mema wanaoleta heshima kwa Taifa.....ila mara nyingi huwa hatarini,,,,wahuni wanachukizwa......HESHIMA KWAKO MZALENDO>>>>>>MUNGU ATAKULINDA........
 
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo.

Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
Ana uwezo wa kuilinda CCM?
 
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo.

Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
Hayohayo tu ya Sazana Kaganda. Hamuwezi kukaa kimya.
 
Siasa katika teuzi za Igp; ngoja na mimi nisubiri tenda yangu ya kumfagiria mtu.
 
Mahakama, polisi, uhamiaji na taasisi nyingine zingekuwa wanachagua majina wao na kupigiwa kula katika taasisi zao wangekuwa wanatoka watu bora sana . Serikali yenyewe ni kuwa obsarve anayezingua ni kumbuluza mahakamani tungelikuwa bora sana
 
Back
Top Bottom