Kamjua wiki kamuoa inawezana jaman

Kamjua wiki kamuoa inawezana jaman

ila gaga kibongo bongo ukimuoa chn ya miez sita tabu mana unajulikana kesho unaachika kama inavyokuwaga kwa wasanii we2 wa muzik na filamu
Kuna rafiki yangu alitumwa na mtu amtafutie mchumba akatafuta mipango ya harusi ilianza badae waka realize kwamba wao ndio wanapendana mipango ikaendelea wakafunga ndoa yule mchumba akatemwa na mpaka sasa yuko na urafiki na yule aliyetemwa ni miaka 10 sasa. kwa hiyo sometimes it works
 
Mie nampenda halafu ndio anaepamba kipindi chao yuko so charming

jaman jaman 2simuige tembo kunya mav mapana mana unaweza kuchanika hvyo ucjalbu kumuiga life stail ya m2 wakat unajua upo vp oho me cmo ndoa ki2 kingne na co cha kukurupuka 2uu
 
Haya tushajua uko Dubai!!Nwy inawezekana sana...zipo ndoa za aina hiyo na zinadumu sana tu na kuna wanaojuana miaka alafu miezi mitatu tu wanashindwana!Chemistry na moyo vyote vikikubali hata siku tatu tu mnaweza kuoana na mambo yakanyooka!
Dubai alimaanisha bia mpenzi maana misemo imeibuka bongo mpaka utashangaa, ukienda nje mwezi tu ukirudi unaweza usielewe watu wanaongea nini
 
Murefu umeunganisha hayo maneno mengine umefupisha yaani ilimradi namshukuru Mungu nimemaliza kusoma.

Mhh kumbe nanyie wanaume mpo lakini hamvumi?? we mambo ya watu ya meza ya pili uliyasikiaje?? inamaana ww ulikuwa huna la kufanya zaidi ya kusikiliza??

Ila hii kali, imenisikitisha alafu pia imenifurahisha, one week then ndoa!!! sijajua ilivyo kaa kaaa lkn hembu tungoje wadau waseme neno.

Nahisi hakuwa na company, upweke ndiyo uliyomfanya apate nafasi ya kukusikiliza maongezi ya meza ya pili...lol

ILA HIYO NDOA mmh!!! sijui kama itadumu,
lakin labda inaweza kudumu japo kwa mtazamo wangu uwezekano huo ni wa 5% tu.
 
Dubai alimaanisha bia mpenzi maana misemo imeibuka bongo mpaka utashangaa, ukienda nje mwezi tu ukirudi unaweza usielewe watu wanaongea nini

ha,ha,ha,ha,haaa vp na wewe mshlk nn? Umejuaje au na wewe una2pia dubai barid au moto
 
Nahisi hakuwa na company, upweke ndiyo uliyomfanya apate nafasi ya kukusikiliza maongezi ya meza ya pili...lol

ILA HIYO NDOA mmh!!! sijui kama itadumu,
lakin labda inaweza kudumu japo kwa mtazamo wangu uwezekano huo ni wa 5% tu.

ndoa ya namna hii inawaongezeaga kaz wachungaj na ofis za selikar za mitaa 2uu mana huwa hazidumu huwez ukaoa au ukaolewa wk hapa ndo ninapojua kuwa kwanin cku hz ndoa huwa hazdumu ni kama fashen 2uu mana kama umeolewa ndan ya wk jiandae kuachika ndan ya mwez
 
ha ha hha ha ha ha ha,
kazi ya usuluhishi???,au.
Hiyo ndoa naona kama imekaa kitamthiliya zaidi...
Sidhani kama hao wanandoa wapo serious.
 
Dubai alimaanisha bia mpenzi maana misemo imeibuka bongo mpaka utashangaa, ukienda nje mwezi tu ukirudi unaweza usielewe watu wanaongea nini
Nimemsoma mpendwa...huku ungaLTD bado bado naona!
 
ha ha hha ha ha ha ha,
kazi ya usuluhishi???,au.
Hiyo ndoa naona kama imekaa kitamthiliya zaidi...
Sidhani kama hao wanandoa wapo serious.

cjasema nimeiona ila kutokana na walivyosema jamaa ameoa wk na ndo natafakar itakuwa inawaongezea kaz hawa wa2 wengne mana ndo navyoona hvyo mana co kaz ndogo kufanya usuruhisho
 
Ningejua unakuja ningeshatulia zamani!Kuna mkaka mmoja alinidanganya anaweza kunifanya nisimmiss dearest nikaenda nae mjini..matokeo yake kala nauli yangu akaniacha solemba!

ha ha ha haaaaaaaaaaaaa ndo maisha dearest,watu tumeliwa sana lakini bado tupo na maisha yanazidi kuwa bora kila kunapokucha....mpotezee huyo mwanaume....au njoo kwetu bwana upoteze mawazo....pls naomba utulie tu kama zamani,i can not afford to see you this way...l.o.l
 
watu watakulaje mji? au dubai ni chakula?

mi sioni shida wao kuoana hata kama wangefanya hivyo masaa baada ya kukutana.....waende tu ANGAZA then waoane....maisha hayana formula....wangapi wamekaa seven years or more na hawakuoana wala hata kujuana inavyotakiwa.....waachwe na maisha yao...:director:
kama ni kwenda angaza watahitaji angalau myezi 3 if da 1st test was non reactive. Kwa siku 7 zao hata angaza hawafit, zaidi ya hapo waoane kibudu
 
cjasema nimeiona ila kutokana na walivyosema jamaa ameoa wk na ndo natafakar itakuwa inawaongezea kaz hawa wa2 wengne mana ndo navyoona hvyo mana co kaz ndogo kufanya usuruhisho
Jamaa wepi bwana ni wewe umekwama tu mahala umejikuta ushatangaza ufalme
 
Jamaa wepi bwana ni wewe umekwama tu mahala umejikuta ushatangaza ufalme

ha,ha,ha,ha,haaaa gaga bana haya bana mm sisemi ila muda unakuja utaelewa kwanin wachungaj na hao selekar za mitaa wanayo kaz
 
ha ha ha haaaaaaaaaaaaa ndo maisha dearest,watu tumeliwa sana lakini bado tupo na maisha yanazidi kuwa bora kila kunapokucha....mpotezee huyo mwanaume....au njoo kwetu bwana upoteze mawazo....pls naomba utulie tu kama zamani,i can not afford to see you this way...l.o.l

wewe michelle badala ya kumshaur kwenzio ajitahid amlazimishe aolewe na jamaa wewe unataka kumpooza co hvyo bana mwambie aolewe wiki 2uu ucwe hvyo
 
Mie sielewi ila siwezi olewa mwezi toka nikutane na mtarajiwa wangu, ita bidi asubiri tu, kupima pia ni muhimu sana kwangu
 
ha ha ha haaaaaaaaaaaaa ndo maisha dearest,watu tumeliwa sana lakini bado tupo na maisha yanazidi kuwa bora kila kunapokucha....mpotezee huyo mwanaume....au njoo kwetu bwana upoteze mawazo....pls naomba utulie tu kama zamani,i can not afford to see you this way...l.o.l

Hivi umerudi ntarekebika tu dearest!Kwanza kesho siku ya sikukuu unanipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom