Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Aisee Ndugai kakosea sana kuna mtu nimeongea nae kaniambia jamaa kafariki kwa brain concasion...ngoja nifatilie zaidi...
Anatekeleza ilani ya chama na hatachululiwa hatua yoyote kwa sababu anatekeleza ilani ya chama
Taarifa za kufariki kwa mgombea huyo hazina ukweli wowote!!! Mgombea aliyepigwa anaendelea vizuri na atakuwa discharged muda wowote!