Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman mimi sishabikii chama chochote japokuwa sera za chadema nazikubali. Kinachonipa maswali ni kuona majimbo mengi yaliyochukuliwa na chadema utekelezaji wa ahadi zao ni sifuri zaidi sana tunawaona wakipiga kelele bungeni na kugoma majimboni hamna wanachofanya. Nilitamani sana tuweke ushabiki pembeni tuwakosoe kabla ya kuwapigia kura za ndio msimu huu. Watanzania wanataka mabadiliko.
Nasikia eti amefariki..! mbona kaguswa tu..?!
Hii ni demokrasia ya ubavu!
Nasikia eti amefariki..! mbona kaguswa tu..?!
Nasikia eti amefariki..! mbona kaguswa tu..?!
Aisee sasa amempigia nini mwenzake?