Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah nimeshaisikia ulishawahi kusoma kile kitabu cha things fall apart...hahah kakirudie naona wameanza kuanikana wenyewe kwa wenyewe...hii hatari mkuu hadi lowasaa kasema sisiem si ya baba angu kimenuka hahahaah tutarajie mengi mie kadi yao narudisha...nishachafukwaa SIMBA45
mkuu karibu nyumbani(ukawa) huku ndyo kuna tuna tumaini jipya na dhati..njoo tuonganishe nguvu tumtoe huyu mdudu, na jinamizi(ccm) wa maendeleo ya watz
Aisee Ndugai kakosea sana kuna mtu nimeongea nae kaniambia jamaa kafariki kwa brain concasion...ngoja nifatilie zaidi...Jamaa amefariki dunia.
Jamaa ana hasira balaaaaaaa, teheteheteheteheteeeeee. Vyeo hivi aiseee.
Aisee Ndugai kakosea sana kuna mtu nimeongea nae kaniambia jamaa kafariki kwa brain concasion...ngoja nifatilie zaidi...
breaking newzz!
yule mgombea aliepigwa na mh ndugai afariki dunia mda mfupi uliopita. akizunguzia tukio hilo mganga mfawidhi wa hospital ya mkoa dodoma Dr.kyeche amesema marehem amepata tatizo LA brain concasion baada ya kupigwa na kitu kizito hivyo kusababisha dam kuvilia kwenye ubongo.