Nilidhani ndugai mutu ya busara kumbe wa hovyo
Habari kama hii bila picha ni uzushi!
mabadiliko hayakwepeki mwaka huu
Mkuu bado sina imani na UKAWA lakini nataka mabadilikoVipi mkuu,umeshakuwa na Imani na UKAWA?
Toka smartphone zimeingia...zimekuwa so helpful kufanya watu wawe pia smart na general awareness kuhusu politics. Asante mzungu.Uchaguzi mwaka uu si mchezo na ni mgumu kwa chama tawala, wananchi wameamka sana kwa kipindi hiki.
Nadhani Tanzania inatoka stage moja kwenda nyingine.
Loh mwaka uu ni hatari
Kwa kweli siku hizi watu wanapata habari ya mambo yanayoendelea tofauti na zamani kudaganywa kulikua nje nje.Toka smartphone zimeingia...zimekuwa so helpful kufanya watu wawe pia smart na general awareness kuhusu politics. Asante mzungu.
Pole sana Dr.Chilongani, fimbo umepata na ubunge umekosa, lakini usife moyo wewe bado kijana 2020 sio mbali kajipange upya tu kijana.