Kazi kweli kweli...
Mzee Wassira naye juzikati kamtwanga mtu wake kule Bunda. Kazi kweli.
Hata Arusha watia nia walizichapa. Ni Sera ya ccm.
au ndio sera ya wapigwe tu
Mzee Wassira naye juzikati kamtwanga mtu wake kule Bunda. Kazi kweli.
Ubabe wa bungeni kumbe mpaka jimboni? Sikio la kufa....
Jay One tofautisha Gongo na gogo!. Wewe mwalimu wako wa kiswahili hakufanya kazi sawasawa.Yaani upigwe na gogo..? Unajua gogo ww..? Yaani hawa wagogo ni shida, watu waongo waongo sana.... gogo unajua ukubwa wake..?