kwahiyo unataka kusema mondi alivyopata tuzo 7, kuna demu alijitoa sadaka
Kazi za Diamond zilikuwa haxina pingamizi alijituma ikaonekana na bado zinaonekana bila ubishi
Mtoto wa Tandale yupo juuuuuuuu
Majibu kwa watanzania haya pichani
majibu yako hayaa hapaaaaa na tuzo hazirudishwi
kweli arudishee....
Kaeni hvyo hvyooo...
Kura hampigi maneno mengiii
hahahaaaaaaaaaaa....
Hehheiyyaaaa
khooooo ptuuuuuu.....
Ndo ashapata sasa na harudishi asilani..
Mlie,mcheke..muandameni..
Shauri yenuuuuu...
Waleeeeee tunapepeaaaa ....
Ukijihisi humpendi kiba ndo lako hilooo
na mseme mpk mchoke maneno hajali..
Mola hamtupi mja wake..
Yeye si wa kwanza wala wa mwisho kusemwaaa
mkichoka mtalala..au mnaenda kunyaaaa.....
Poleniiiiii
Hatumsemi ila huo ndio ukweli baadhi ya tuzo amepewa si kwa sababu ya vigezo bali upendeleo.