emmandninetytwo
Member
- Jun 9, 2015
- 8
- 3
Ndiyo kura nilipiga, vipi una hakika gani kuwa kura ndio ziliamua .ulipiga kuraaaa
hv majaji wataamuaje km kura ziko nyingi hata kuchakua inashindikana..?!
mfano km alipata kura 4 huyo bela then kiba millioni je?
mzurimie watu watakufa kwa kijiba mwaka huu hakyamunguAtaandika mbunge bichwa ili auziwe CD kwa wabunge kama akipita badala ya beautiful bichwa ya tuzo, nasubiri tamko ajibu ombi hili.
Sasa hivi nimetoka soma habari nzuri insta #panafricancollabo la raisi wa wasafi na D... wako universal studios wanafanya kazi.
Arudishe tu mbona kipind kile bushoke alikataa tuzo na kusema sio yake hakustahil......
Naye namshaur arudishe tu mana hakna namna nyingne
Ndiyo. Naisubiria kwa hamu.!!
Tena arudishe tuzo zote tatu,mtunzi mahiri bongo hapa wote tunajua kama ni barnaba!mwimbaji mzuri pia hakuna wakumzidi Barnaba hata Wema sepetu alishakubali kwamba barnaba kibongobongo hapa hakunaga kama yeye!!
Tuzo ya mtumbuizaji kila mtu anajua kama ni ya CHIBU!
Wimbo bora wa Mwaka unajulikana kabisa kama ni Nani Kama Mama na watu tulipiga kura hivyo,yule mzembe kiba arudishe tu kwa kweli
Anataka kwenda kufanya biashara yake ya ukahaba bungeni
Upo sahihi Kimbley ...Arudishe tuzo za kubebwa afanye kazi kwa bidii ili tumsaport. !Tena arudishe tuzo zote tatu,mtunzi mahiri bongo hapa wote tunajua kama ni barnaba!mwimbaji mzuri pia hakuna wakumzidi Barnaba hata Wema sepetu alishakubali kwamba barnaba kibongobongo hapa hakunaga kama yeye!!
Tuzo ya mtumbuizaji kila mtu anajua kama ni ya CHIBU!
Wimbo bora wa Mwaka unajulikana kabisa kama ni Nani Kama Mama na watu tulipiga kura hivyo,yule mzembe kiba arudishe tu kwa kweli
Watu mlipiga kura hivyo au wewe ulipiga kura hivyo!!!
Upo sahihi Kimbley ...Arudishe tuzo za kubebwa afanye kazi kwa bidii ili tumsaport. !
mzurimie watu watakufa kwa kijiba mwaka huu hakyamungu
aahahahaa niliona ile video yake wakati anashangilia ushindi yeye na Abdul na yule jamaa yao mfupi sijui nani(watajua wenyewe).
Yaani hata macho yao yanaonyesha ukwelikwamba walibebwa!hawakua na furaha za kihivyooo!!aibu kweli hii,halafu waliompa hongera ni wasanii wachachee!tofauti na muitikio wa wasanii na radio&tv presenters wanavyohamasisha watu wampigie kura diamond na Vanessa!
Anatamani kurudisha sema tu ndio hivyo anaona atarudi tena shimoni.