Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

Watu mbona mnalia lia kuhusu tuzo. Punguzeni mihemko isiyo na msingi tumieni reasoning capacity zenu.
Fikirieni mbali hata mpige kelele ka machizi tuzo hazirudi endeleeni kujifariji
 

Attachments

  • 1434566576239.jpg
    13.1 KB · Views: 240
Watu mlipiga kura hivyo au wewe ulipiga kura hivyo!!!
Hivi mkuu unapoteza muda wako kubishana na hawa watu? Achana nao huo muda fanya mambo yako ya maana.Wenzio wako hapa wanajifariji tu, huoni wanajitekenya na kucheka wenyewe?
 
Ali anaonekana hakua comfortable mbele ya Di.,tangu kitambo kumbe.!!

Sasa naanza elewa mwenye matatizo.

Mmmmmmhhhhh...! Maneno tuu hayo time will tell..! Kwan Dmond alikuwa confortable alipogundua Kiba ana tuzo 5...?
 
Iko hivi:utumbuizaji wa muziki ni nn tunatizama vigezo gan? na utunzi bora ni upi?
Utumbuizaji ijulikane sio dancers ni msanii kuwasiliana na hadhira kwa kutoa burudan,kutumbuiza ni pamoja na kucheza,vyombo mfano:gitaa,ngoma,na vingine tujiulize swali kati ya hao juu nan anaingia na ngoma ama gitaa stejini? na je hio miziki hutokea kwenye CD ama mtu hupiga mwenyewe? na vingine vingi.
Utunzi:ni uwasilishji wa ujumbe uliopangika na kufuata taratibu za mashairi,kutunga nyimbo nyingi sio tiketi ya utunzi bora,nyimbo km sophia ya ben Pol imeandikwa vizur na inaeleweka haijalishi amekosea ngapi ama amepatia ngapi,
 
Mmmmmmhhhhh...! Maneno tuu hayo time will tell..! Kwan Dmond alikuwa confortable alipogundua Kiba ana tuzo 5...?

Yupo Diamond na raha zake kama kawa anapiga kazi kusaka pesa, wa tuzo 5 anafanya nini?
 
Kiba hata aibu aoni
'Bongo kweli nyoso bongo balaa'

Mwana ina mashairi gan jaman hadi kupewa mtunzi bora....!
 
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
mnanipa raha sana,Great thinkers think alike,keep good music alive,angepewa D ingekua sawa kapewa K n shida,dunia haiko ivyoo,watu huzidiana uwezo.
 
Nyie ndio mnaomkosesha tuzo mtu wenu, wenzenu wako bize kupiga kura we upo bize kuandika mipasho harafu baadae akikosa tuzo mnakuja kuandika upuuzi. Hebu kwendraa kampigieni kura msani wenu
 
Yupo Diamond na raha zake kama kawa anapiga kazi kusaka pesa, wa tuzo 5 anafanya nini?

Anakula bata na mbshe za kila siku...! We hujui kwa nin anacheka...! Let me tell you hapo ndo kipind kile anamuomba kiba amuombee kwa Bob junior akatoke kimziki soo yupo na furaha but king kiba yeye acheke nin wakati alishakuwa famous..! Just ssssshhhh ssssshhhh tuzo kapewa Mmiliki halali
 

Maneno ndio hayooooo, kama unatunga yako hakuna tabu.

Kijulikanacho na kinachoonekana wote tunajua anayetangaza TZ nchi za nje ni Diamond, Jina lake limo vinywani mwa wengi na inazidi.

Usisahau kumpigia kura
 
Maneno ndio hayooooo, kama unatunga yako hakuna tabu.

Kijulikanacho na kinachoonekana wote tunajua anayetangaza TZ nchi za nje ni Diamond, Jina lake limo vinywani mwa wengi na inazidi.

Usisahau kumpigia kura

Asante but Ukweli unaufahamu but ukitaka debate me ntakuwa chairperson koz you people never admit dat de king kwa sasa ni nani...? Anyway about vottn siwezi kuwa kiparashilala wa Dmond..! Hata hivo Africa we are one Right..! Basii discretion ipo kwa mpiga kura
 
Sisi kama BASATA na kwa kushirikiana na wadhamini TBL ni kweli TUZO MBILI ALIPEWA KWA SABABU TU WEMA ALIWAGAWIA RUSHWA YA UTAMU MAJAJI KWA HIYO TUNAMUOMBA KIBA ARUDISHE HIZO TUZO 2 RUDISHA RUDISHA RUDISHA RUDISHA TAFADHARI SANA SANA SANA SANA SANA
 

Ukweli unajionesha khaaaaaaa kula ndimu

Utajiju tuache sie wa Tanzania halisi tunaojivunia nchi yetu.

Mnatamani kuwa wa Naija, watawakalibisha kunako wafaa na huko ni Ajegunle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…