Uchaguzi 2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

Natamani kupiga kura ingekua lazima. Usipo chagua mgombea A au B au C unatumbukiza kura katika sanduku la 'Hakuna nnaemchagua'

Natamani utambulisho wa mpigaji kura ungekuwa kwa nchi/mkoa/wilaya/tarafa/kata/kijiji/mtaa au kitongoji/ubalozi/kaya.

Natamani kabla ya kupiga kura kuwe na siku za wananchi kuchunguza kama raia wote husika wamo katika orodha na kwamba wanajulikana.

Natamani kuwe na uhakiki nani hakupiga kura na kushulikiwa kisheria baada ya uchaguzi.

Natamani Rais aliyekuwa madarakani anapo gombea asiwe na hicho cheo. Awe na hadhi sawa na wagombea wengine.

Natamani matokeo ya uchaguzi yaweze kuhakikiwa na wawakilishi wa wagombea kwa uangalizi wa .....Tume kuwa mshuhudiaji tu.

Natamani matokeo ya kura za urais yaweze kupimwa uhalali kwa mkata rufaa.

Natamani kipindi cha kampeni viongozi wachaguliwa wasi ruhusiwe kutumia majukwaa ya kampeni kufanya kazi yoyote ya kiserikali.

Mkikataa mawazo hayo. Natamani tuwe tunapiga kura za mlolongo. Mnapiga mstari kwa mgombea mnae mpenda na kupata matokeo hapo hapo.

Mnaweza boresha, lakini sina imani na mfumo wa sasa wa uchaguzi.

Hapo sija andika tusi hata moja!
 
Mama yako haniiti mpumbavu lakini nakushangaa wewe

Well mama yangu hakujui wala hasoimi mitandao hii yeye anakula pensheni yake ya uzeeni tu akianza mwaka wa 90 sasa, kwa hiyo ni kweli hawezi kukuita mpumbavu; lakini majibu ya aina hii ndiyo yanayoonyesha upumbavu zaidi. Badala ya kujadili mada wewe unaanza kushambulia watu. Uliwahi kunikuta ninaiba kura, kwa nini uniambie kuwa "mlizoweza kuiba kura" kama siyo upumbavu huo wa kuandika mambo bila kufikiri.
 
Hivi unaulizia wizi wa kura ccm hebu acha upumbavu wewe mataga nyie ni wabobezi kwenye hiyo mikitu
 
Ungekuwa na akili timamu, unagesema "CCM walizowea kuiba kura" usingesema "Mlizoweza kuiba kura." Upumbavu wako unakuja kwenye jinsi unavyota hoja zao kipumbavu kabisa kiasi kuwa hata mtu ambaye angeweza kukusikiliza hawezi kuendelea kukusikiliza. Halafu unazingumza hayo bila kuwa na ushahidi wowote ila hisia tu.
 
Well mama yangu hakujui wala hasoimi mitandao hii yeye anakula pensheni yake ya uzeeni tu akianza mwaka wa 90 sasa, kwa hiyo ni kweli hawezi kukuita mpumbavu; lakini majibu ya aina hii ndiyo yanayoonyesha upumbavu zaidi. Badala ya kujadili mada wewe unaanza kushambulia watu. Uliwahi kunikuta ninaiba kura, kwa nini uniambie kuwa "mlizoweza kuiba kura" kama siyo upumbavu huo wa kuandika mambo bila kufikiri.
Mkuu naona umepaniki kama mgombea wenu wa makalavati na mabwawa ya umeme
 
hamna muelewa yeyote wakumkubali mjuaji kama lissu
Huku Afrika mtu anaeonekana anajua mambo mengi, anaongea kwa kujiamini, anachambua kila jambo, anakosoa viongozi, huitwa MJUAJI

Alikuja Mbowe wakasema ni DJ wa muziki,KILAZA

Kaja mwanasheria msomi tunasema MJUAJI
 
Ndivyo inavyochezwa hiyo ngoma. Alikuja Kikwete wakasema ni DHAIFU na kwamba nchi ilikuwa inahitaji kiongozi dictator. Kaja Yohana Mbatizaji wanasema ni DICTATOR na hivyo hafai. Next, please!
 
Wamo mchanganyiko.kunawenye matatizo ya akili,kuna mazezeta na piakuna mataahira.

Niambie Nani Taahira Kati ya anayetumia mabilioni kujenga Flyover, Ubungo changerover,SGR etc badala ya miferezi/mitaro kuzuia mafuriko? Tumeona Mvua ya masaa 2 tu Dar imeua watu 13 kwa mafuriko....!!!
Huo ndiyo UTAAHIRA, UZEZETA NA UKOSEFU WA AKILI!!
 
Nambie wewe ni nchi gani hapa Duniani iliweza kuzuia gharika?

Nenda google ama yourtube ukaone mafuriko yalivyouwa watu U.S,France,China n,k.simbuse hizi nchi masikini za Africa.
 
Ewe zwazwa acha propaganda za kipuuzi. Sihitaji kwenda Google maana najua ninachokisema. Mvua ya masaa 2 haiwezi kuwa ni janga kama la Tsunami au Katrina. Hii Ni mvua tu ya kawaida ambayo ingelikuta miundo mbinu ya mifereji na mitaro ya kuchepusha maji kwenda baharini tusingelipoteza uhai wa Ndugu zetu 13!
Tatizo ni Rais Magufuli na CCM yake kukosa vipaumbele vinavogusa maisha ya Watanzania maskini!!!!
 
Wewe ndo zezeta la kimataifa,unachoangalia wewe ni muda wa mvua kunyesha eti!!.hiyo mvua iliyonyesha ya masaa mawili ni ya kiwango gani?
Wewe umeshiba maghimbi unajamba jamba tu hapa jf ujui hata unachotetea.
 
Niambie Nani Taahira Kati ya anayetumia mabilioni kujenga Flyover, Ubungo changerover,SGR etc badala ya miferezi/mitaro kuzuia mafuriko? Tumeona Mvua ya masaa 2 tu Dar imeua watu 13 kwa mafuriko....!!!
Huo ndiyo UTAAHIRA, UZEZETA NA UKOSEFU WA AKILI!!
Uboreshaji wa miundombinu ni swala endelevu na linaendana pia na changamoto zinavo rise. Tusiwe tunabeza kila kitu aisee sio sifa ya kiumbe rational. Leo hata wangepanua mifereji bado wanaokwama kwenye foleni wangehitaji flyover na interchange. Tuwe tunaongea machache maana vyote vinavyojengwa mwisho wa siku mnufaika ni mwananchi sio majini wala misukule
 
Back
Top Bottom