Uchaguzi 2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

Uchaguzi 2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

Ila CHADEMA bwana..Kushindwa kumudu gharama za mabango imekuwa kama ni jambo walilo plan.

Au ndio sihitaji hizi ni Mbichi, ili hali ni Mbivu(hadithi ya sungura).

Anyways..Mie huku mtaani naona vipeperushi vyao na wagombea wao kama vya wale wa Jiunge na freemason😂😂
Ukiweka bango jiandae kupambana na TRA
 
Acha manyumbu wajifurahishe mtandaoni sisi wana ccm tutafurah tar 28
 
Hii kauli itakuwa na maana kama CDM wakielewa hawawezi kupata matokeo tofauti kwa mbinu zile zile.
Uzuri ni kuwa humo humo ndani Kuna waliochoka na utawala huu. Wanatupa habari zote na ushahidi.
 
Uzuri ni kuwa humo humo ndani Kuna waliochoka na utawala huu. Wanatupa habari zote na ushahidi.
Hata nyie watu wenu wanatoa habari. Msipoingia barabarani baada ya 28 Oct. mtarudi kwenye maisha yenu ya kulalamika mitandaoni hadi 2025. Thats a fact.
 
Wamo mchanganyiko.kunawenye matatizo ya akili,kuna mazezeta na piakuna mataahira.
Acheni mtindio wa akili wa kupambanua mambo. Kila binadamu anayo homon ya kupenda na kuchukia kitu ndan ya ubongo wake. Kumchagulia mtu apende unachopenda wew ni maono mfu na upungufu wa elinu dunia kichwani. Mwanamke uliyonae kuna waliomuona kabla yako, hawakumpenda ukampenda wew. Wew kuwa nae si dhambi kwa hasijempenda. Hiyo ni kaz ya homon. Nendeni shule mkapunguze utindio wa akili. Comment zingine ni aibu zanu
 
Africa nzima lazima ikushangae. Watu walipigana kufa na kupona ili kujiondoa kutoka kwenye mikono ya mabeberu halafu wewe unalilia kurudi kwenye mikono ya mabeberu kwa maslahi binafsi ya vibaraka fulani!
Magufuli madini kakabidhi Barrick😅😅😅
 
Acheni mtindio wa akili wa kupambanua mambo. Kila binadamu anayo homon ya kupenda na kuchukia kitu ndan ya ubongo wake. Kumchagulia mtu apende unachopenda wew ni maono mfu na upungufu wa elinu dunia kichwani. Mwanamke uliyonae kuna waliomuona kabla yako, hawakumpenda ukampenda wew. Wew kuwa nae si dhambi kwa hasijempenda. Hiyo ni kaz ya homon. Nendeni shule mkapunguze utindio wa akili. Comment zingine ni aibu zanu
Umepanic
 
Sina chama ila magufuli ndio atashinda,lissu naona sana jamii forum,Facebook kwenye watumiaji wengi naona anakubalika jpm,pia hivi vyama vingine vitapunguza kura za lissu wangeungana kama ilivyokuwa ukawa angeshinda,pia ccm wana mbinu nyingi mfano hii ya kujiandikisha wengi watashindwa hata kupiga kura.
 
Bosi unaweka nini ili tu beti
Wao hawaoni shida kuweka chochote. Achana nao utapata laana bure.
JamiiForums1955323914.jpg
 
Hongera saana kwa kuweza kupenya katikati ya mioyo ya watu na kumuona Lissu
 
Mbona alishindwa sana uko biharamulo tena mara mbili na kajamaa kazee kaliitwa Kabuye ktk ubunge mpaka lilipoanza jimbo la chato??

So, Hacha kuleta ubwegeza wako
Hakuna wa kushindana na Magufuli akashinda.
 
Jizuie usitumie maneno ya ushabiki wa mpira unapoongelea hatma ya maisha yako na ya ndugu zako kwa miaka mitano ijayo.
Shemeji nilichokigundua ni kwamba mnajaribu kutengeneza vi mada vya kujifariji, lakini mioyoni mwenu mnajua kabisa kichapo hakikwepeki
 
Jamaa kaona haitoshi kaamua kutusumbua na SMS, sijui kwanini anatumia nguvu nyingi hivo wakati amejenga miundombinu na anapendwa kama anavyojinasibu.
 
Jizuie usitumie maneno ya ushabiki wa mpira unapoongelea hatma ya maisha yako na ya ndugu zako kwa miaka mitano ijayo.
Mkuu Yoda Natafuta namna nzuri ya kukujibu lakin inashindikana, okay tuache liserereke hadi litakapogotea
 
Back
Top Bottom