Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

Kwahiyo wewe ni chawa wa Mama au mtoto wa kizimkazi au samia Queen au Mama ongea na mwanao ??? Tulizeni mishono, kazi za Rais zinajieleza katika maeneo yote acheni kumharibia kwa kujifanya kuelezea aliyoyafanya wakati ukiulizwa data kamili huna,,kama unazo haya niambie wilaya ya Mlalo kiasi gani cha fedha kilichopelekwa na ni miradi gani iliyotekelezwa???
 
Ndugu zangu,

Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu

Lengo la kwanza, kufikisha ujumbe maalumu kwa watu wote, nikielezea kazi na mafanikio ya CCM na Rais Samia. Lengo hili litakwenda sambamba na kuutaka Umma kuwa wavumilivu maana tunaelekea nchi ya Ahadi.

Lengo la pili, kukisaidia Chama Cha Mapinduzi Kwa ushauri, maoni na mapendezo ili Kwa pamoja tutekeleze kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. Naomba Chama changu mnipokee niwasaidie kwenye eneo hili.

Lengo la tatu, kuwaomba wananchi Kwa nini 2025 tunatakiwa TUMPE MAMA TABASAMU. Kulingana na kazi kubwa, nzuri na ya kupigwa mfano kama sehemu ya shukrani na fadhila hatuna budi kumpa TABASAMU. MPE MAMS TABASAMU Kwa kumpa ushindi wa kishindo na kukipa ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi.

Kwa pamoja, tuungane kutekeleza kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. naamini tutakuwa pamoja.

Karibuni maana kampeni hii nakusudia imfikie Kila mtu hususani mwenye umri wa kupiga kura. vijana, wazee, wakina baba ,wakina mama karibuni Kwa kampeni ya 2025 MPE MAMA TABASAMU

Ahsanteni.
Nafsi yako inaridhika kabisa na kile kinachofanywa na wabunge pale Bungeni? Unaposema wananchi waipe ushindi CCM ni usindi gani na wa kazi gani kama malengo ya nchi yanapangwa ndani ya Bunge.
Wakati mwingine waoneeni wananchi huruma ata kama wewe unahitaji kupata chako ili uneemeke, washaurini vizuri kwani wao pia pia wanahitaji kupata maendeleo jumuishi.
 
Huna hayo mamlaka bado tutajua wakati ukifika ila sio mbaya kuendelea kujifurahisha
Utaratibu uliopo Sasa Kwa CCM ni kutoa fomu Moja tu Kwa wagombea wanaoendelea. Rais Samia anaendelea na Rais Mwinyi anaendelea kama watafika salama, ambacho Sina uhakika nacho ni kutofika salama kutokana na mapenzi ya Mungu.
 
Nafsi yako inaridhika kabisa na kile kinachofanywa na wabunge pale Bungeni? Unaposema wananchi waipe ushindi CCM ni usindi gani na wa kazi gani kama malengo ya nchi yanapangwa ndani ya Bunge.
Wakati mwingine waoneeni wananchi huruma ata kama wewe unahitaji kupata chako ili uneemeke, washaurini vizuri kwani wao pia pia wanahitaji kupata maendeleo jumuishi.
Ukiniuliza hata nikiwa usingizini ,ni wabunge wa Chama gani wakipewa nafasi wanafanya vizuri ? Bila kupepesa jicho, jibu langu ni wa CCM.kwa nini?

2015-2020 Kwa nyakati nilibahatika kuishi majimbo matatu yaliyokuwa chini ya upinzani ila Kwa kipindi Hiko ni kama maendeleo yalisimama maeneo hayo na wabunge walikuwa busy na mambo mengine. Niliishi Jimbo la Iringa mjini lilikuwa chini ya CHADEMA, niliishi Jimbo la Tanga mjini lililokuwa chini ya CUF na Jimbo la ubungo chini ya CHADEMA.
 
Ndugu zangu,

Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu

Lengo la kwanza, kufikisha ujumbe maalumu kwa watu wote, nikielezea kazi na mafanikio ya CCM na Rais Samia. Lengo hili litakwenda sambamba na kuutaka Umma kuwa wavumilivu maana tunaelekea nchi ya Ahadi.

Lengo la pili, kukisaidia Chama Cha Mapinduzi Kwa ushauri, maoni na mapendezo ili Kwa pamoja tutekeleze kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. Naomba Chama changu mnipokee niwasaidie kwenye eneo hili.

Lengo la tatu, kuwaomba wananchi Kwa nini 2025 tunatakiwa TUMPE MAMA TABASAMU. Kulingana na kazi kubwa, nzuri na ya kupigwa mfano kama sehemu ya shukrani na fadhila hatuna budi kumpa TABASAMU. MPE MAMS TABASAMU Kwa kumpa ushindi wa kishindo na kukipa ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi.

Kwa pamoja, tuungane kutekeleza kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. naamini tutakuwa pamoja.

Karibuni maana kampeni hii nakusudia imfikie Kila mtu hususani mwenye umri wa kupiga kura. vijana, wazee, wakina baba ,wakina mama karibuni Kwa kampeni ya 2025 MPE MAMA TABASAMU

Ahsanteni.
viva Rais comrade Dr SSH viva 👊💪
 
Utaratibu uliopo Sasa Kwa CCM ni kutoa fomu Moja tu Kwa wagombea wanaoendelea. Rais Samia anaendelea na Rais Mwinyi anaendelea kama watafika salama, ambacho Sina uhakika nacho ni kutofika salama kutokana na mapenzi ya Mungu.
yaani ni kwamba huna hakika na una wasiwasi wasiwasi na Mungu ama?🐒
 
Ukiniuliza hata nikiwa usingizini ,ni wabunge wa Chama gani wakipewa nafasi wanafanya vizuri ? Bila kupepesa jicho, jibu langu ni wa CCM.kwa nini?

2015-2020 Kwa nyakati nilibahatika kuishi majimbo matatu yaliyokuwa chini ya upinzani ila Kwa kipindi Hiko ni kama maendeleo yalisimama maeneo hayo na wabunge walikuwa busy na mambo mengine. Niliishi Jimbo la Iringa mjini lilikuwa chini ya CHADEMA, niliishi Jimbo la Tanga mjini lililokuwa chini ya CUF na Jimbo la ubungo chini ya CHADEMA.
hua ni kujipiga kifua tu na kulalamika lakin hamna kitu 🐒
 
Utaratibu uliopo Sasa Kwa CCM ni kutoa fomu Moja tu Kwa wagombea wanaoendelea. Rais Samia anaendelea na Rais Mwinyi anaendelea kama watafika salama, ambacho Sina uhakika nacho ni kutofika salama kutokana na mapenzi ya Mungu.
Hadi wasaa ufike tukijua ndo itaeleweka.....kwa sasa kila mtu apige marktime zake tu
 
Kama ni maendeleo yamefanyika chini ya uongozi wa Samia au kama mmavyosema maendeleo yamefanywa na Samia kwanini yasijionyeshe yenyewe hadi wewe umsemee ??

Mbona hapa kwa wenzetu sijawahi sikia wanatenga siku kusema maendeleo yaliyofanywa rais??

Muache Samia maendeleo aliyoyafanya yanajionyesha na ndio yanasemwa na yanayowagusa wananchi acha nyie mnaolipwa kumsemea.

Wananchi wanaona maendeleo kwenye sukari, umeme, maji , mafuta na miundombinu hayo hayahitaji nguvu yanaongelewa sana bila malipo.
acha upotoshaji 🐒

kama kwa makusudi umezira, umesusa na umegoma kuyaona kama kawaida yenu, 🐒

unadahani kuna wakubabaika nawe saaa 🐒
 
Maendeleo yake nimeyataja.

Kuzurura mataifa mbalimbali

Kuuza bandari.

Sukari kugeuka lulu.

Mgao wa umeme.

Kuuzwa Ngororongoro.

Bei ya mafuta kupanda kila uchwao.

Ufisadi wa kupindukia na kukumbatia mafisadi na viongozi mizigo.

Mikopo isiyo na tija.

Hayo mimi ndio nimeyaona na kuyasikia sihitaji mtu aniambie tofauti na nilichoona na kusikia.
 
na ung'ang'ane apo apo vizuri zaid, ndipo nasi tuweza kutumia kama njia rahisi na ya mkato zaid ya kuwachapa vizuri sana serikali za mitaa baadae 2024 na serikali kuu vizur zaid apo mwakani 2025 kwenye debe 🐒
 
Unawezaje kumuita Raisi ni Mama yako?? Huyo ni Rais sio Mama yako, Mama yako anaungua jua kijijini huku
 
Kwa waliofunzwa heshima na adabu wanajua namna bora ya kuwaita watu waliowazidi umri. Kabla ya kuwa Rais alikuwa mama baada ya kuwa Rais ataendelea kuwa mama, Rais ni jina la mpito
 
Back
Top Bottom