Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punguza gubu kamanda,Punguza pumba ewe chawa wa mama Abdul
Samia ni Dr wa kitu gani?Yes,
Panaweza pakawa na changamoto lakini mara nyingi huwa sivyo kama inavyoripotiwa 🐒
hata hivyo,
tayari viongozi wa kisekta wapo field kuhakikisha kila kitu kinatatuliwa na kiko sawa, nadhani wew mwenyewe ni shuhuda, kwenye maboresho na marekebisho yaliyofanywa na mkuu wa nchi jana, shirika unalolitolea mfano kua na changamoto limeguswa na mabadiliko pia 🐒
so,
hayupo wa kuzuia wala kudhoofisha kampeni yoyote dhidi ya comrade Dr SSH kuongoza tena muhula ujao kwa kishindo zaidi 🐒
KUNA BILLIONS OF MONEY FROM ABDULNdugu zangu,
Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu
Lengo la kwanza, kufikisha ujumbe maalumu kwa watu wote, nikielezea kazi na mafanikio ya CCM na Rais Samia. Lengo hili litakwenda sambamba na kuutaka Umma kuwa wavumilivu maana tunaelekea nchi ya Ahadi.
Lengo la pili, kukisaidia Chama Cha Mapinduzi Kwa ushauri, maoni na mapendezo ili Kwa pamoja tutekeleze kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. Naomba Chama changu mnipokee niwasaidie kwenye eneo hili.
Lengo la tatu, kuwaomba wananchi Kwa nini 2025 tunatakiwa TUMPE MAMA TABASAMU. Kulingana na kazi kubwa, nzuri na ya kupigwa mfano kama sehemu ya shukrani na fadhila hatuna budi kumpa TABASAMU. MPE MAMS TABASAMU Kwa kumpa ushindi wa kishindo na kukipa ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi.
Kwa pamoja, tuungane kutekeleza kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. naamini tutakuwa pamoja.
Karibuni maana kampeni hii nakusudia imfikie Kila mtu hususani mwenye umri wa kupiga kura. vijana, wazee, wakina baba ,wakina mama karibuni Kwa kampeni ya 2025 MPE MAMA TABASAMU
Ahsanteni.
Nduu gay... Ndu gay...! Nchi inauzwa....inauzwa aa! Hela za Abudul hela za mama Abudul na Abudul...!Ndugu zangu,

Je wanao, nduguzo na jirani zako wana tabasamu?Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu