Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Humu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
Chawa wapo kwenye kila chama cha siasa, kwenye makampuni, kila sector. Unataka chawa wa chama gani, au sector ipi au taasisi zipi, au chawa wa Nchi ipi au kiongozi wa chama kipi cha siasa
 
Unajua dogo unazingua kinoma sana.
 
Mbona kama mmechelewa!! Kitambo sana kwa wale ninaowafahamu, nilishaignore
 
Free tundu Lissu.
No reform No election.
No reform No election.
No reform No election.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…