Ndio mkuu, umepiga kwenye mshono wa operesheni kubwa.Nimepiga kwenye mshono...
Kazi ya chawa ni Kusifia hata ujinga, ila wewe hutaki kuzisikia sifa na unajaribu kuzima uhuru wao, sasa imagine ungekuwa na jeshi linaloweza kuwateka na kuwapaka mafuta.Kazi ya machawa ni kukosoa.?
😆😆😆Mkuu punguza ukali wa Maneno, Hakuna mtu mpumbavu kwa anachokiaminiMm sina chama, mm sio chadema wala sio CCM.
Mm nipo upande wa haki.
Hata humu kuna machawa wa ccm kama Lucas Mwashambwa na wengine wa chadema kama Erythrocyte na wote hao mm nawaona ni wapumbavu tuu Ila chawa cha ccm wanazingua Sana aisee labla Tusubiri chadema ikishika nchi tuwaone na hao chawa wao.
Kama hii ng'ombe inaweka comment mashudu halafu inaweka na kanyani mwisho huwa inanikera sana
HAKIKAHumu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
Upande wa Haki ni upi Huo ambapo uko? unaosema No reform no Election au huo mwingine tunaojua Nani atakuwa raisi kabla ya kupiga kura?Mm sina chama, mm sio chadema wala sio CCM.
Mm nipo upande wa haki.
Hata humu kuna machawa wa ccm kama Lucas Mwashambwa na wengine wa chadema kama Erythrocyte na wote hao mm nawaona ni wapumbavu tuu Ila chawa cha ccm wanazingua Sana aisee labla Tusubiri chadema ikishika nchi tuwaone na hao chawa wao.
Popote pale wanaopigania haki, hata wakiwa n ccmUpande wa Haki ni upi Huo ambapo uko? unaosema No reform no Election au huo mwingine tunaojua Nani atakuwa raisi kabla ya kupiga kura?
Angalia Mada zao ndo utanielewa, unaweza kuamini upumbavu tuu.😆😆😆Mkuu punguza ukali wa Maneno, Hakuna mtu mpumbavu kwa anachokiamini
FREE TUNDU ANTIPAS LISSUHumu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
🤣🤣🤣 Huyo achana naye Mkuu dishi limeyumbaKama hii ng'ombe inaweka comment mashudu halafu inaweka na kanyani mwisho huwa inanikera sana
Huyu ni yule anajiita tlatilaah sijuiKama hii ng'ombe inaweka comment mashudu halafu inaweka na kanyani mwisho huwa inanikera sana
Hahaha 😂Na ndo mana nikawaita wapumbavu ili wajue hilo kabisa.
Hebu iandike tenda upya kisha unatag.Kwahy mods mmeamua kufuta comment yangu ilikuwa no. 2 au sio
Angalia comment no. 4 kuna mtu ali-reply hvy bado inaonekana kwakeHebu iandike tenda upya kisha unatag.
Dinyos wa JF si watu Wema.Angalia comment no. 4 kuna mtu ali-reply hvy bado inaonekana kwake