Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Pia kuwa ignore wasanii wote machawa na kuzifuta na kutofuatilia kazi na maudhui ya vitu vyote wavifanyavyo.
Hii huwezi maana mziki mdundo tu ukianza tu aacha wewe hisia hazina kususa ni kuselebuka yaani watu wasusie starehe good times huko ni kufeli kabla ya kuanza
 
Humu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
Dawa Ni kuwa ignore kabisaa, Kuna jamaa mmoja wa songwe-mbozi nilimuignore kitambo
 
Mimi nadhani kila Chama kina machawa siyo CCM tu mkuu wewe mwenyewe kwa comment yako tu inavyojieleza tayari ni chaaa wa Chama flan
Ok, Yaani tuwe na standards zetu. Mfano mtu kutekwa, kauliwa, kapotezwa, Nje ya mahakama. Member yeyote anaye kubaliana na vitendo hivyo, Jf itafute namna ya kumuweka nje ya mtandao. Kwa njia hiyo tutaweza kujenga ustaarabu na kuheshimu utu wetu.
Jamani, Ustaarabu wetu u wapi kama tunaruhusu mmoja au zaidi a/wauliwe, apotee, atekwe kisa ametofautiana ki fikra/mtazamo na wale tuliowapa mamlaka ya kuongoza?
SHAME UP ON US!.
 
Kama kuheshimu uhai nalo linatushinda sasa tutaweza nini sisi?
 
Ok, Yaani tuwe na standards zetu. Mfano mtu kutekwa, kauliwa, kapotezwa, Nje ya mahakama. Member yeyote anaye kubaliana na vitendo hivyo, Jf itafute namna ya kumuweka nje ya mtandao. Kwa njia hiyo tutaweza kujenga ustaarabu na kuheshimu utu wetu.
Jamani, Ustaarabu wetu u wapi kama tunaruhusu mmoja au zaidi a/wauliwe, apotee, atekwe kisa ametofautiana ki fikra/mtazamo na wale tuliowapa mamlaka ya kuongoza?
SHAME UP ON US!.
Hapo sawa nmekuelewa mkuu hatuhitaji sisa za kubanduana kucha bila ganzi
 
Back
Top Bottom