Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Unawezakuta mleta mada ni mama mwenye sifa tatu za usingle mother eti!!
 
Huyu mama anajua aisee... kwenye hiphop ndo hawa tunawaita real MC's.. ana bars, ana flows na ana punchlines...
 
Sijawahi kuwa chawa. Tatizo lenu chadema mkiona mtu anapambania haki Mnadhani ni mwanachama wenu.
MKuu hii ni kanuni ya kiasili tu usiwalaumu.

Kanuni inasema kama hauko upande wetu basi uko upande wao.

Nadhani hapo ndio hamkuelewana
 
Mm sina chama, mm sio chadema wala sio CCM.
Mm nipo upande wa haki.

Hata humu kuna machawa wa ccm kama Lucas Mwashambwa na wengine wa chadema kama Erythrocyte na wote hao mm nawaona ni wapumbavu tuu Ila chawa cha ccm wanazingua Sana aisee labla Tusubiri chadema ikishika nchi tuwaone na hao chawa wao.
Tatizo sio CDM kushika nchi..
Shida ni nchi kuongozwa kwa rule of law, uchaguzi huru na haki na katiba mpya... tukifikia hapo tu hata CHADEMA wasiposhika nchi tutakuwa tumeheshimiana..
 
MKuu hii ni kanuni ya kiasili tu usiwalaumu.

Kanuni inasema kama hauko upande wetu basi uko upande wao.

Nadhani hapo ndio hamkuelewana
Ila mm bado sipo upande wowote.

Mm nataka maendeleo bila kujali yanaletwa na chama gn kilichopo madarakani.

Sijawahi kuhudhuria mihadhara wala mkutano wowote wa siasa, mm nafanya maisha yangu tuu.

Ila ukiwasoma hawa wapuuzi Chawa wa vyama, kila mtu anavutia kwake ionekane ndipo kwenye mema ila pengine pana mabaya tuu.
 
Ila mm bado sipo upande wowote.

Mm nataka maendeleo bila kujali yanaletwa na chama gn kilichopo madarakani
Hili ni jambo muhimu sana. Hata watanzania ukiwasikiliza wanataka amani, haki, na maendeleo. Yeyote atakayesimamia hili ataungwa mkono
 
Back
Top Bottom