Tumewapeleka mperampera na mgombea wetu ndio kwanza anakuwa mbichiJuzi nilimsikiliza Dr. Marcos Albanie akiwa mwanza (ambae alijitambulisha kama mshauri wa Tundu Lissu) alisema kwa wiki tatu hizi za mwanzo CCM wamekuwa kwenye defensive position, sasa kinachofata awamu ya pili wao kama chadema wanaenda kupasua kichwa cha ccm.