Uchaguzi 2020 Kampeni meneja wa CCM 2020 ni nani? Nayaona makosa ya kiufundi mengi sana

Tumewapeleka mperampera na mgombea wetu ndio kwanza anakuwa mbichi
 
Tutaweka tu, ngoja mwezi wa lala salama ufike...
 
True
 
KWANI CCM HADI IANDAE KAMPENI MENEJA WA NINI? KWANI KUNAUPINZANI TANZANIA MWAKA HUU MPAKA CCM ITUMIE NGUVU KUBWA KUPAMBANA?? SISI TUNAJUA MPINZANI WETU NI MABEBERU. ILA TUTAWAGALAGAZA ASUBUHI SAANA.
Nasikia kawaita Ma DED kumhakikishia ushindi wa chama chake au kama hawawezi kazi hiyo basi atafute mbinu nyingine kwa Wateule wake wengine. Bado kuna mvutano wa kimaamuzi. Hali ni mbaya huko ccm wewe endelea kukenua meno huku JF.
 
Maji shingoni kitanzi hakitoki , kampeni meneja bila shaka atakuwa mwenyewe kiongozi wa malaika yesu wa ccm na yesu wa Lugola .
 
Kampeni Meneja ni Chakubanga, Polepole
 
Kinachofurahisha ni kwamba imekuchukua muda mrefu kufuatilia kampeni za CCM mpaka ukaja na uzi. Ahsante sana!
 
Tatizo ni mgombea urais wa CCM ukimshauri tu anaona unamdhalilisha na unafukuzwa, hivyo mwache afanye kila kitu mwenyewe. Naona sasa wamelazimika kuwaita wasimamizi wa uchaguzi majimbo yote kuwapa masharti makali.
 
Madaraja, fao la kujitoa, mishahara na madaraja ya wafanyakazi, Korosho za Mtwara na SGR ndiyo vinavyotupigia Kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…