Uchaguzi 2020 Kampeni meneja wa CCM 2020 ni nani? Nayaona makosa ya kiufundi mengi sana

Nasikia kawaita Ma DED kumhakikishia ushindi wa chama chake au kama hawawezi kazi hiyo basi atafute mbinu nyingine kwa Wateule wake wengine. Bado kuna mvutano wa kimaamuzi. Hali ni mbaya huko ccm wewe endelea kukenua meno huku JF.
HAYA NI MAWEWESEKO YENUU. SUBIRINI OCTOBER, TUMUGALAGAZE YULE BEBERU ALIETOA HIFADHI KWA KIBARAKA KWA MIAKA MITATU.
 
I think macCM are undergoing severe and massive shock ya kwamba wananchi wengi are airing resentment na kuonyesha hasira zao!

This is their problem maana wanajisahau sana na always wako kwenye denial na wana kiburi na wanawadharau WaTZ sana kudhani ni Wajinga na Wapumbavu!

Safiri tutawafanyia kitu kibaya hamtakisahau kwenye sanduku la kura
 
Hivi bado mnategemea kushinda?[emoji1787]
 
Nape na Makamba wapo karibu na Membe na mpaka wameachiwa majimbo Sasa hapo utawaunganishaje kwenye kampeni Kama siyo kuferisha timu?
 
Kabisa njia nyeupe kabisaaaaa, yaani jukwaani wanashangaza sana kila mtu anasema hovyo. Hawajipangi mtiririko wa wasemaji hawapo wamebaki kusema sema kwenye mitandao tu.
Nimeshangaa ile juzi magufuli kasema vitambulisho sio lazima baada ya Lissu kuibua mambo ya vitambulisho alafu baada ya siku mbili pole pole anakuja kutetea vitambulisho kuonesha kama ni lazima 😂😂😂😂

Hapo ndo niliamini Ccm kweli wamepoteana
 
Chapisho lako nimelipenda!
 
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
Mitano Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endelea kuota.
Mimi si mwanachama wa chama chochote.
Sina kadi ya chama chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…