Uchaguzi 2020 Kampeni meneja wa CCM 2020 ni nani? Nayaona makosa ya kiufundi mengi sana

Kuna haja sasa team iliyofanya kampeni 2015 itafutwe kwa nguvu ili waje wafukie mashimo haya

HAWA WA 2015 WAMEAMBIWA WANAWASHWA WASHWA HIVYO WAACHE KUTIA KIWINGU WAKAE KIMYA WAWAACHIE VIJANA!!!!
 
Kama alitukana mamba je, tuliwaambia ccm mgombea wao hauziki hawakusikia,waombe poo kwa tume wabadili mgombea angalau kuambulia hata kura chake.2015 watu waliichoka ccm.2020 ccm na mgombea wake vyote vimechokwa.
Tuendelee kusubiria wakati wa Mungu umefika.
Ukimkosea mwanadamu umemkosea Mungu
 

Hata hao wazee wa fitina awafui dafu,ccm mpya imejimaliza yenyewe kwa mateso iliyowafanyia watz
 
Remember one person own everything

You are the doctor

You are the teacher

You are the campain manager

You are the pilot

You are the Banker

Ohooo kila kitu wewe utafanya saaa ngapi na siku ina masaa ishirini na nne

Wape wengine nguvu wakusaidie

Ni mzuri kwenye claiming kuliko kwenye reasoning
 
Kwamba we unawatakia mema ccm, hauki serious, kawape huo ushauri chadema wenye timu unayoiona we nzuri kuliko ya 2015...
 
Yuko buisy kutisha na kuwazomea wapiga kura huwezi kumwona
 
Uko sahihi mkuu..

Watu tumechoka kusikia ndege, bwawa, reli na elimu isiyo bure in reality.
Miaka mi5, kila mgombea wao akisimama kwenye jukwaa story ni hizo hizo, hata kama anazindua duka la simu.

Mpaka leo hiki chama hakina slogan ya uchaguzi. Kipo kipo tu. Walijua wanapendwa SANA mitaani, kampeni itakuwa formality tu.

Kinana, Makamba, Mang'ula wanamcheki tu.
Polepole na Bashiru ni bure kabisa pale.
Siasa siyo vyeti ni talent.

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Hakuna kosa lolote kampeni za CCM ziko safi tu
 
Matope well said.
Katika Uchaguzi Mkuu huu wa 2020, CCM imefeli vibaya Sana kwenye Uwanja wa Kampeni. Tatizo ni kuwa na Manager Campaign kuwa dhaifu asiye na vision ya ushindi!
Mwaka 2015 CCM walikuwa na Mzee Kinana Kama Meneja Kampeni akisaidiana na Nnape Nauye. Hawa jamaa 2 walikuwa vizuri sana katika kuelezea hoja,Sera, mikakati na Ushawishi kwa Wapiga kura na ndo waliosaidia Magufuli kuingia Ikulu. Ajabu ni kwamba wote Hawa 2 Magufuli aliwatumia kama toilet papers na leo hii wote kawatosa baada ya kutofautiana kimtazamo!!!

Kwa sasa haijulikani kama Bushiri Ali- KM, Bwana Slowslow-Mwenezi au Majaaliwa Kassim- PM ndiwo Campaign managers wa CCM ya Magufuli!!!!
Kinachofanyika ndani ya CCM ni aibu tupu.
 
Ila CCM kumfananisha Polepole na NAPE walibugi sana, NAPE ilee nafasi ya uenezi alikua anaiweza sana yaani yule çcm ilikua damuni
 
Nape alisoma India
January alisoma George Mason-Marekani
Kinana alisoma Harvard.
Hupati shida kujua kwamba hawa watu waliandaliwa kitambo na wakaandalika.
 

We unaona kuna dalili ya kampen meneja pale na mibunduki yote ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…