Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Naamini hujatanguliza siasa kabla ya kuandika.unisamehe kwa kuwa kwangu mwanasiasa , lakini pia mimi ni Simba damu
Nyani Fc Tangu lini mkaichagulia simba mtu sahihi wa kuongozaTaarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa ( sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa Mwenyekiti wa Simba .
Simfahamu Mangungu kwahiyo sitamjadili .
Bali Juma Nkamia hana uwezo na wala hajawahi kuwa na uwezo wa kuongoza timu kubwa kama Simba , Nkamia ni mtu aliyejaa ubinafsi asiyeamini katika umoja , ni mtu wa majungu ambaye akipewa nafasi hiyo ataigawa Simba mapande mapande , hapaswi kupewa cheo kikubwa kama Uenyekiti wa Simba , Nkamia amekuwa kiongozi wa chini wa Simba miaka iliyopita , lakini tabia yake ya kuropokaropoka ilimfanya akang'olewa .
Pamoja na kuwa Mbunge katika bunge lililopita , lakini Nkamia hakuwa na ushawishi wowote ndani na nje ya bunge , hoja zake bungeni zilizimwa kama mshumaa jangwani , huku wananchi wa Jimbo lake wakiongoza kwa umasikini nchini Tanzania , mtu kama huyu hafai kuongoza timu ya Kimataifa kama Simba
Itaendelea ......
Bahati nzuri, Barbara anajua Kiswahili kuliko Nkamia gwiji wa kujipendekezaDuh Nkamia tena?
Kwanza anaweza hata kuelewa Barbara akiongea?
Nkamia hakung'olewa bali akiwa katibu mwenezi alijiuzulu kwa sababu ambazo alizitaja hadharani.Nkamia anawafaa sana mikiani ama mapakani au majalalani kwani ana exposure kuwazidi akina Kaduguda na Dalali,Nkamia amefanya kazi BBC akipasua anga toka Bush house London.Huyu ndo anafaaa.Au nasema uongo ndugu zangu!Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa ( sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa Mwenyekiti wa Simba .
Simfahamu Mangungu kwahiyo sitamjadili .
Bali Juma Nkamia hana uwezo na wala hajawahi kuwa na uwezo wa kuongoza timu kubwa kama Simba , Nkamia ni mtu aliyejaa ubinafsi asiyeamini katika umoja , ni mtu wa majungu ambaye akipewa nafasi hiyo ataigawa Simba mapande mapande , hapaswi kupewa cheo kikubwa kama Uenyekiti wa Simba , Nkamia amekuwa kiongozi wa chini wa Simba miaka iliyopita , lakini tabia yake ya kuropokaropoka ilimfanya akang'olewa .
Pamoja na kuwa Mbunge katika bunge lililopita , lakini Nkamia hakuwa na ushawishi wowote ndani na nje ya bunge , hoja zake bungeni zilizimwa kama mshumaa jangwani , huku wananchi wa Jimbo lake wakiongoza kwa umasikini nchini Tanzania , mtu kama huyu hafai kuongoza timu ya Kimataifa kama Simba
Itaendelea ......
Na akaliwa kichwa.Huyu si alitaka magu aongezewe miaka?
Aiseeee !!Hizi timu ni matawi ya serikali ili kupunguza machungu ya wananchi maskini.
Wakati wote hazitakiwi kuwa huru wala kuimarika hivyo watapelekwa watu wao tuuu wakiona zinataka kuwa bora bifu huanza.
Jiulize wapi Wambura na maono yake kwa mpira was nchi hii. Hawa wote waliopitishwa Simba ni wawakilishi wa wale wale.
Bahati mbaya tumezaliwa kwenye mifumo hii.
Kwani Simba wa Yuda imekuwaje tena? Maana alipigiwa chapuo sana kuwa atabeba hicho cheo. Refer Okwibobansunzu!Ndio chaguo la Muddy...Simba hawana chao toka waporwe hati, na umiliki wa Klabu yao.... Maamuzi na Meno hawana...[emoji41]
Ungechukua fomu ugombee wewe bwashee!
Dr Juma Nkamia mwenyekiti Mapaka FC hutaki hamia Lipuli!We nae, kwan lazima kila uzi uchangie?...acha upuuzi, bichwa maji
Kura zote za ndiyo ni kwa Juma means wa Mkamia,wenye chuki wataumia Sana.Dr Juma Nkamia mwenyekiti Mapaka FC hutaki hamia Lipuli!
Ulikua ndiyo Mheshimiwa Hasan Dalali Mkuu? Pole sana kwa kufyekelewa mbali mapema kabisa!!Jina langu lilikuwemo
Ni Njaa,Kwani Simba wa Yuda imekuwaje tena? Maana alipigiwa chapuo sana kuwa atabeba hicho cheo. Refer Okwibobansunzu!
Kwani bado ile 20 haijawekwa ?Ni Njaa,
Simba wanachama kuna njaa ya kutisha.
Ona Wenyeviti wote wa Simba wanachama ama wamejizulu au hawataki kugombea tena cheo hicho cha Uenyekiti baada ya msoto.
Na huyo Mkamia kama atashinda kwa huo msoto lazima ataanzisha mgogoro mkubwa, atalazimisha B 20 iwekwe haraka ili wazitafune.
Mi nipo nasikilizia.