Kampeni: Napinga Juma Nkamia kuwa Mwenyekiti wa Simba, hana uwezo

Mama mia!!! Tumekwisha..

Hivi huyo Juma Nkamia ana shughuli gani ya kumuingizia kipato zaidi ya hicho anachogombea?

Tunafahamu fika kwamba mwenyekiti sio muajiriwa wa klabu,,

Hivyo basi ,,hatokuwa na mshahara kutoka simba.,na wala halipwi chochote.

Je? kama hana chanzo chochote cha pesa ,,
Anagombea hiyo nafasi aisaidie club au club ndy imsaidie yeye kutatua maisha yake?
Nasikia anaishi hotel miaka yote,,hata kiwanja hana,,
Sasa kiongozi kama huyo wa nn ktk club kubwa kama simba?

Ifikie kipindi tuchaguwe viongozi kwa uwezo wao wa kifedha,,na sio kufuga wabadhirifu ndani ya club.
 
Erythrocyte jamaa kaa tu utulie,wewe uwaga unagundu jambo ukilipinga basi ndo linafanikiwa,kupinga kwako ni kama vile ndo unalipa baraka ilo jambo.
Juma Nkamia atakuwa mwenyekiti wa Simba.
 
Erythrocyte jamaa kaa tu utulie,wewe uwaga unagundu jambo ukilipinga basi ndo linafanikiwa,kupinga kwako ni kama vile ndo unalipa baraka ilo jambo.
Juma Nkamia atakuwa mwenyekiti wa Simba.
Sijawahi kuandika hivi hivi tu , nimeona jambo fulani , utakuja kunikumbuka
 
Sidhani kama utapita mwezi mmoja bila kuanzisha mgogolo.
Simba wa Yuda alikuwa anatumia pesa yake binafsi kufanya kazi za Simba. Mimi ni shahid.
Na akaamua kutogombea tena.
Mtu asiye na ajira na ategemee Simba kama ajira yake huu upande wa Simba wanachama hawezi kudumu kabisa.
Ama ataanziasha mgogolo au atajiuzuru.
Mi nipo nasubiri.
 
Au pengine anataka apige
Pesa akimbie.
 
Kwa utaratibu uliopo kwa Club ya Simba, sehemu pekee ya kimaamuzi ambayo mwenyekiti atashiriki ni kwenye Board ya wakurugenzi ambapo hapo mwenyekiti anakuwa ni mjumbe tu wa hiyo Board. Hivyo hana maamuzi yoyote ya kufanya zaidi ya kura yake moja ndani ya Board.
 
Wote hawatufai mmoja si ndo alisema Yesu wa kijana atawale milele, ila tutaishi nao tu hamna jinsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…