sasa kwan haujui kuna growth ya kila sku, unadhan kwamba ndo wanaishia apo ofcourse mwisho wa sku lazima utarudi taka usitake, ni njaa znakusumbua tu kwa saahvBado kwani unataka siku moja
kamanda kunja ngumiBiashara ikisimama palepale maana yake unakula hasara sababu kuna matumizi.
Biashara ikirudi nyuma hata kwa 0.001 maana yake hata kama huitegemei hiyo biashara umekula hasara
tafuta ela umaskini tu ndo unakusumbuaUkijitanya kwako siasa sio issue tambua ya kuwa:
Siasa inaamua jinsi gani maisha yako yatakuwa.
Kupanda kwa gharama za maisha ni siasa inaamua
Kuongezeka kodi na makato ya miamala ya simu/kibenki ni maamuzi ya wanasiasa.
...yapo memgine mengi, so ukiamua kukaa mbali na siasa huku ukiyqpa kipaumbele mambo ya simba na yangu, diamond na harmonize ujue tu hatma yake.
ela ni nini mkuu?tafuta ela umaskini tu ndo unakusumbua
ndo utafuteela ni nini mkuu?
No Reforms No ElectionsKwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
No reform No election 🇹🇿kamanda kunja ngumi
Kwahiyo unatakaje....???Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
no reform no mwangiNo reform No election 🇹🇿
tupe za kwakoTakwimu ya mchongo..kwa hiyo hakuna figures za ziada mfano 38769 badala yake ni 30000 tu???
Takwimu chonganishi na za uongo
MrNe