Kampeni ya Kumshawishi Rais Magufuli Ajiunge JF

Mtu anakesha akiomba malaika atue hapa kufunga JF na mitandao yote alafu wewe unaanzisha kampeni ya kumshawishi aache kutumia fake ID na kutumia real ID?

Watch out, not to that extent.
 
Tatizo la humu tutashindwa kuiheshimu ID yake ...Pm za ajabu ajabu zitaanza kuelekezwa kwake.

Matusi na vihoja vitakuwa mbele badala ya michango ya kuboresha.

Liacheni jamvi litulie kwa style hii hii tuliyonayo
 
Hapana aishie hukohuko akija hapa atataka uadmin hapo ndo tutajaa wote Segerea
 


Hii picha yake ukimwangalia machoni unaweza kuandika kitabu abort likasome..
 
Yuko humu kitambo..
Tuliza boli
 
sidhani kama ana kifua cha kubebea makombora ya wakuu wangu humu - nikiwataja kwa uchache akina BAK , Salary Slip , Mmawia , Matola , nk, nk

sidhani!
 
Reactions: BAK
Nikuulize wazazi wako na huyu nani unamheshimu zaidi
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…