Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Hahaha mzee wa Assist wewe unajitafutia BanYumo humu si ndio anajiitaga Raimundo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mzee wa Assist wewe unajitafutia BanYumo humu si ndio anajiitaga Raimundo
Hahaha mzee wa Assist wewe unajitafutia Ban
Wana Jukwaa, sasa tuanzishe kampeni ya kuhakikisha Rais wetu JPM anakuwa verified member humu Jamii forum
Haiwezekani Rais atumie mtandao wa Twitter pekee wakati kuna mtandao wa kizalendo ambao ndio Mtandao unaokusanya kero na matatizo ya watanzania.
Hivyo popote Msaidizi wa Rais, au uliyekaribu na Rais tunakuomba umweleze Mh Rais kwamba Wana Great Thinker wanamhitaji humu, na humu ndio sehemu pekee tunaweza tukadiscuss mambo yetu.
Karibu Mh Rais Dr. John Magufuli
Cc Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Paul Makonda hk kigwangala, Msigwa, Rithiwan Kikwete, Humphrey Polepole
![]()
Duuh amefolo watu tisa tu! Natamani kuwajuaTunataka awe verified kama kule twitter
![]()
Yuko humu kitambo..Wana Jukwaa, sasa tuanzishe kampeni ya kuhakikisha Rais wetu JPM anakuwa verified member humu Jamii forum
Haiwezekani Rais atumie mtandao wa Twitter pekee wakati kuna mtandao wa kizalendo ambao ndio Mtandao unaokusanya kero na matatizo ya watanzania.
Hivyo popote Msaidizi wa Rais, au uliyekaribu na Rais tunakuomba umweleze Mh Rais kwamba Wana Great Thinker wanamhitaji humu, na humu ndio sehemu pekee tunaweza tukadiscuss mambo yetu.
Karibu Mh Rais Dr. John Magufuli
Cc Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Paul Makonda hk kigwangala, Msigwa, Rithiwan Kikwete, Humphrey Polepole
![]()
sidhani kama ana kifua cha kubebea makombora ya wakuu wangu humu - nikiwataja kwa uchache akina BAK , Salary Slip , Mmawia , Matola , nk, nkWana Jukwaa, sasa tuanzishe kampeni ya kuhakikisha Rais wetu JPM anakuwa verified member humu Jamii forum
Haiwezekani Rais atumie mtandao wa Twitter pekee wakati kuna mtandao wa kizalendo ambao ndio Mtandao unaokusanya kero na matatizo ya watanzania.
Hivyo popote Msaidizi wa Rais, au uliyekaribu na Rais tunakuomba umweleze Mh Rais kwamba Wana Great Thinker wanamhitaji humu, na humu ndio sehemu pekee tunaweza tukadiscuss mambo yetu.
Karibu Mh Rais Dr. John Magufuli
Cc Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Paul Makonda hk kigwangala, Msigwa, Rithiwan Kikwete, Humphrey Polepole
![]()
ndioooooooooooooo9oooTunaomba tuwe wastarabu wa kuchangia kwenye uzi huu.
Nikuulize wazazi wako na huyu nani unamheshimu zaidiIli mumuandikie haya mnayoandikaga humu yasiyo na heshima na maneno machafu juu yake.
Mnataka JF ifungiwe kwenye mengi au!?
Jibadilisheni kwanza.... ndio mumuombe
Ila yeye kuwa msomaji ni vizuri tu, tabu wengi mnaandika upupwu juu yake hadi hawezi kuitaja forum hii.