Kampeni ya Kumshawishi Rais Magufuli Ajiunge JF

huyu bwana hana simile anaweza kukutukana humu humu by the way naunga mkonyo hoja
 
Ingekuwa Vyema hiyo ID yake imilikiwe na Gerson Msigwa au Balozi Kijazi tuu inatosha.
 
Safi sana mkuu!!
Rais kuwepo humu itasaidia kujua kero za watu wengi sana
 
Anaye mjua kwa jina lake analotumia sijui anajiita geza
 
Tatizo la humu tutashindwa kuiheshimu ID yake ...Pm za ajabu ajabu zitaanza kuelekezwa kwake.

Matusi na vihoja vitakuwa mbele badala ya michango ya kuboresha.

Liacheni jamvi litulie kwa style hii hii tuliyonayo
Kama ni PM anaweza kuifunga.

Alafu yanao te deka humu hata huko twitter, fb na insta yamo.
 
Tatizo lenu mtaanza kumtakana
 
Tatizo lenu mtaanza kumtakana
Watakao mtukana Rais watakuwa wamekosa adabu.

Kutofautiana ni kitu cha kawaida, hata ke twitter kuna watu wanatofautiana nae na kum quote sehem nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…