Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi.

Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja.

Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia.

Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho.

Wanyama wana haki ya kuishi, kuzaliana na kufurahia maisha
 
Huo ni ukatili mkubwa
 
Wakiisha waje kuimpoti kutoka bara, muhimbili siku hizi hakuna paka?
 
Haya maupumbavu ndio Magufuli aliyakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…