Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

We utakuwa Doc wa mchongo, moja ya vyanzo vya maambukizi ya Toxoplasmosis (T.gondii) ni paka, wahanga wakubwa ni wanawake ambao baadhi yao wako hapa kupinga zoezi mujaarabu ka hilo, haohao kila uchao wamo humu kulalamikia abortion cases, inafikirisha sana.
Nipe Case za Toxoplasmosis Kwa upande wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla zipo kwa Percent ngapi...Prevalence yake ikoje Kwenye Top 10 au Kwenye top 20 Disease ni Gonjwa la Ngapi kitaifa?

Nataka tujadili hili swala kwa hoja sasa
 
Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi.

Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja.

Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia.

Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho.

Wanyama wana haki ya kuishi, kuzaliana na kufurahia maisha
VIpi kuhusu mbwa mbona hamuwataki huko zanzibar, kama kila mnyama anayo haki ya kuishi??
 
Nilikua pale forodhani one tym...nikawa nakula ki pweza changu jamani wale paka duu huwa hawafukuziki jamani...yani wanene na wanashape hao..macho yao kama wamekula kungu..au sio nyau waleee....
 
Afrika imeanza kuona mambo kwa jicho la tatu na watu wake wamekuwa wagumu kutawalika tena kwa sababu ya watu wengi kuwa watambuzi..

Mnyama Paka ni mmoja ya wanyama wanaongeza hali ya utambuzi kwa binadamu sishangai kuona wanaaanza kuwatokomeza kwa sababu wanaona wao ndo kikwazo
This sheet is very spiritual
 
Back
Top Bottom