Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

🤣🤣🤣ni imagine umesema?
Bwana ehh paka wako kikaangoni, kesho walimu itakuwa zamu yao kutolewa vizazi kwa lazima, maana utafiti unaonesha walimu ndio wana uzazi sana baada ya mahausigeli
 
Imewaona walovyozagaa unguja bila malezi?

Ni hatari kwa afya
 
Msipende kukurupuka na kujifanya kila kitu mnajua, nenda kasome animal welfare act afu uje tena hapa na kifungu kinachosema kutoa uzazi hao wanyama ni ukatili.

Tena hapo wamewahurumia sana, stray dogs and cats wanatakiwa kuwa euthanized ili kucontrol magonjwa kama rabies.
 
Kichwa kama rabies.

Hiyo sheria ni mufilisi na batili, IFUTWE HARAKA SANA.

Hatuwezi kuwa na sheria inayoangamiza uhai wa wanyama kwa kujifanya tunawalinda wanyama.
 
Imewaona walovyozagaa unguja bila malezi?

Ni hatari kwa afya
Watu huwa wanaanzisha hifadhi za wanyama.

Unawakusanya wengi unawafuga. It is a protection strategy but also a BUSINESS.

Kama nilivyosema, hatuhitaji falsafa za machanjo. Hawa wazungu ni wehu, kwanza inawahusu nini warudi kwao huko, eboo!

Sie kwetu paka ni faida. Wanakula mijusi, mapanya na matakataka yanayoruka ruka hovyo.

Paka ni urembo pia. Ana faida nyingi sana majumbani na mitaani.

They will die out of natural causes as nature will deem fit, but not this stupid cat genocide.
 
Huna ulijualo..sikulaumu.
 
Afrika imeanza kuona mambo kwa jicho la tatu na watu wake wamekuwa wagumu kutawalika tena kwa sababu ya watu wengi kuwa watambuzi..

Mnyama Paka ni mmoja ya wanyama wanaongeza hali ya utambuzi kwa binadamu sishangai kuona wanaaanza kuwatokomeza kwa sababu wanaona wao ndo kikwazo
 
We utakuwa Doc wa mchongo, moja ya vyanzo vya maambukizi ya Toxoplasmosis (T.gondii) ni paka, wahanga wakubwa ni wanawake ambao baadhi yao wako hapa kupinga zoezi mujaarabu ka hilo, haohao kila uchao wamo humu kulalamikia abortion cases, inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…