Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

Mbona kwao wanawathamini kuliko watoto wao?
Au wanapambana kwa sababu wanazurura kwenye migahawa na kuomba vyakula?
Paka wanasaidia kukamata panya na hata nyoka ni msaada kwetu

Yaani mzungu akisema kitu mnafuata wao hebu piga teke mbwa ukiwa ulaya au mpige paka uone
 
hawa wazungu wamekuwa vichaa nini?
 
Kuna lipaka siku moja nakula zangu urojo pale forodhani na samaki, likaja likanyang'anya sahani likakimbia nayo.
 
Wanafanya kitendo chema sana, mipaka isiyo na wenyewe ni ya nini sasa, sehemu nyingine wangewapiga risasi, lakini kiungwana hao paka wazururaji wanafanywa wasiendelee kuzaliana na si kuwaua ni uungwana wa kipekee sana.
 
Tutawapelekea paka kutoka bara.
 
Nenda hapo instabul kuna paka zaidi ya elfu moja tena ni "community cats" hawafugwi na mtu na kwa ukarimu zaidi watu wanawapa chakula na malazi ya kuishi nje ya nyumba zao na si hivyo tu 2021 instabul waliweka na sheria kabisa ya kuwalinda hao paka na kuwa treat vizuri.
Unafikiri hao wenzetu waliweza vipi mpaka sisi tufikie hatua ya kuwaua na kuwaondoa vizazi?
 
= Istanbul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…