Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

Nandagala One unajua maana ya jina hilo au umajiandikia tu?
Ninafahamu, ni jina la Kijiji kimoja kipo huko Ruangwa Mkoa wa Lindi, Tarafa bya Mnacho home kwake KATELEFONI !
Niliwahi kaa huko Mwezi mzima 2019 nilikuwa nafanya Tafiti Fulani.

Niambie wewe maana unayofahamu.
 
Ni mtu ambaye alizaliwa kwenye vichaka na akakuwa bila kuwa na akili timamu. Nandagala maana yake kubwa punguwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…