Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #61
Nandagala One unajua maana ya jina hilo au umajiandikia tu?Apeleke kwa WANAOTEKWA ,WANAOULIWA NA POLISI familia zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nandagala One unajua maana ya jina hilo au umajiandikia tu?Apeleke kwa WANAOTEKWA ,WANAOULIWA NA POLISI familia zao
Ninafahamu, ni jina la Kijiji kimoja kipo huko Ruangwa Mkoa wa Lindi, Tarafa bya Mnacho home kwake KATELEFONI !Nandagala One unajua maana ya jina hilo au umajiandikia tu?
Ni mtu ambaye alizaliwa kwenye vichaka na akakuwa bila kuwa na akili timamu. Nandagala maana yake kubwa punguwani.Ninafahamu, ni jina la Kijiji kimoja kipo huko Ruangwa Mkoa wa Lindi, Tarafa bya Mnacho home kwake KATELEFONI !
Niliwahi kaa huko Mwezi mzima 2019 nilikuwa nafanya Tafiti Fulani.
Niambie wewe maana unayofahamu.