Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

Nadhani kwakuwa tunaanza watayachukuwa maoni haya
Angalau italeta nafuu ...
Maana pia kuna watu wana kesi polisi zisizo na kichwa wala miguu..huku wakuu wa vituo hawataki kupeleka watu mahakamani ..
 
Wenzako wenye shida watasaidiwa. Wengine ambao mnajiona mkopoa basi hili nalo litawapita.
Kampeni Iko kiuchaguzi zaidi. Uzoefu unaonyesha hizi njia za viongozi za kutatua matatizo kwa njia hizi huishia kusaka kiki zaidi kuliko kutatua changamoto. Mambo haya ya sijui kusikiliza kero za wananchi alianza nayo Rais Mwinyi, lakini haikufua dafu, maana tatizo kubwa liko kwenye mahakama zetu, na chain nzima ya mifumo ya kisheria.

Ina maana rais hajui kuwa watu wanabambikiwa kesi na polisi, na Kuna watu wanakaa kwenye vituo vya polisi muda mrefu bila kupelekwa mahakamani kinyume kabisa na Sheria? Anachofanya rais ni kuonyesha matatizo ya mifumo ya kisheria, badala ya kurekebisha mifumo ya kisheria haki ipatikane kwa wakati, analeta utatuzi wa matatatizo kwa njia za kiki! Kinachotakiwa ni kuhakikisha Kila taasisi iliyoko kwenye mnyororo wa kisheria inafanya kazi yake kwa ufanisi, na asiyefanya kazi yake kwa ufanisi awwjibishwe. Hizo njia za kiki hazitafanya lolote zaidi ya kusaka kura kwa bei rahisi.
 
Siyo. Lengo kuu la Campain hii ni:-

Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia
(Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.
 
Anatoa elimu/msaada wa kisheria kwa njia mbadala, baada ya mifumo rasmi ya kushughulikia masuala ya kisheria na haki za binafamu kukwama! Kiki nyingine bana ni janga tupu.
 
Hii ni Kampeni ya Kisheria mdani yake kuna wanasheria wabobezi. Watu wenye mahitaji watasaidiwa sana na kampeni hii.
Kwanini imetumia jina la Samia?

Rais anafanya biashara ya law firm?

Nani anatoa financial support kwa hao advocates?

Nani yuko liable kisheria na " patent" ya jina na kampeni hiyo incase ikitokea migongano ya kimaslahi ?
 
Yeye ndiye mwanzilishi
Mama Samia Legal Aid Campaign
 
Nadhani kwakuwa tunaanza watayachukuwa maoni haya
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine...wajanja mmeanzisha ulaji wa kodi za wananchi bila huruma.
Kila mkoa na vilaya zake kuna maafisa wanaohusika na utoaji wa hiki mnachotoa, kwanini msiwape uwezo zaidi hao maafisa ili waendelee na majukumu yao kila siku kwa wananchi wanaoishi nao?
Mnapiga mkishatoka migogoro yataendelea kama ...capacity building kwenu ni nini?
Watu wa ustawi wa jamii na maendeleo ya jamii na maafisa ardhi kazi yao ni nini? Wajengeeni uwezo achaneni na haya mambo yenye mlengo wa kampeni ya kisiasa ndani yake.
 
Hii nchi ina ujinga ujinga nyingi sana, sijui viongozi wanawaza nini
 
Vipi tena ndgu. Si umeuliza swali?
Nimeuliza maswali sijauliza swali.

Hujajibu maswali zaidi ya kuelezea upya kilichomo kwenye kichwa cha habari cha uzi.

Unaweza kunipa majibu ya maswali yangu manne (4)?
 
Nimeuliza maswali 4 ya msingi mleta mada anayakwepa .
 
Nimeuliza maswali sijauliza swali.

Hujajibu maswali zaidi ya kuelezea upya kilichomo kwenye kichwa cha habari cha uzi.

Unaweza kunipa majibu ya maswali yangu manne (4)?
Nimekujibu kuwa yeye ndiye kiongozi wa nchi.
Tangu lini rais afanye biashara. Unajua kuwa urais ni taasisi?
Nani anatoa financial support kwa hao advocates?

Wadau wa Sheria na Haki pamoja na Serikali
Nani yuko liable kisheria na " patent" ya jina na kampeni hiyo incase ikitokea migongano ya kimaslahi ?
Unajua maana na lengo la patent au unatamka tu.
Mbona kuna Mkapa Foundation, Nyerere Foundation nk mbona huzihoji hizo?
Kwani kuanzisha Samia Legal Aid imekuwa nongwa?
Kwani Jina la Samia Legal Aid unataka limilkiwe na nani?

Jibu kwanza hayo maswali ili niweze kueleza zaidi
 
Sasa tutajuaje Leo IPO mkoa gani ?
Kuna watu wamechukuliwa ardhi zao kwa nguvu na matajiri ...huku baadhi ya viongozi Serikali ya mtaa wakiwatetea matajiri ..
Hivi kwa nini wabongo ni rahisi sana kupigwa fix? Huyu mama kapora ardhi za wamasai huko ili kuwapa waarabu halafu leo anawapiga changa la macho mchana kweupe?
 
Hii nchi ina ujinga ujinga nyingi sana, sijui viongozi wanawaza nini
Ina ujinga ujinga mwingi kwa sababu ina wananchi wajinga wajinga wengi. Huyu mama huyu serikali yake kila kukicha inapora ardhi za wazawa halafu leo anakuja na usanii wa kijinga namna hii na watu wanaamini?
 
Nimekujibu kuwa yeye ndiye kiongozi wa nchi.
Tangu lini rais afanye biashara. Unajua kuwa urais ni taasisi?

Wadau wa Sheria na Haki pamoja na Serikali

Unajua maana na lengo la patent au unatamka tu.
Mbona kuna Mkapa Foundation, Nyerere Foundation nk mbona huzihoji hizo?
Kwani kuanzisha Samia Legal Aid imekuwa nongwa?
Kwani Jina la Samia Legal Aid unataka limilkiwe na nani?

Jibu kwanza hayo maswali ili niweze kueleza zaidi
Mwambie kwanza arudishe ardhi ya wamasai aliyopora kule Loliondo. Jinga kabisa!
 
Back
Top Bottom