usijali, tuna tone tone bakini na ruzuku yenu na ikiwezekana mumpe Mremalabda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania .nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa.poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea matokeo chanya ,kwa nini hela za walipakodi ziendelee kutumika hovyo?
labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania .nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa.poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea matokeo chanya ,kwa nini hela za walipakodi ziendelee kutumika hovyo?