Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa serikali, Dkt H.A amekuja na kampeni yenye Hashtag ' #Miaka5YaKazi" inayoonesha miradi mbalimbali iliyofanywa awamu hii.
Cha kushangaza hii campain kama vile imezidi kupoteza mvuto kwa mashabiki/ followers wake zaid ya 300k. Kiasi cha watu wanaolike, retweet au kucomment ni kichache sana kulinganisha na uzitto wa mambo yanayozungumziwa katika hii accout ya msemaji mkuu wa serikali.
Hii maana yake ni nini?