Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Maelezo meeengii ila ni ushuzi wa ngomani mtupu Unashughulika na vitu huku watu wanakufa ili nani aje avitumie?Hao wakoloni unaowatolea mfano pamoja na kufanya uliyoyaeleza walibakizwa kwenye makoloni?Use your damn head,fella!Your Magufuli is a total failure! Like it or hate it!Duh..kweli black lives matter. Sasa maendeleo ya watu yanaanzaje kuja bila maendeleo ya vitu.
Hata wakoloni walianza na maendeleo ya vitu ikiwemo kujenga reli na mashule.
Nyerere alishughulikia na miundo mbinu ili watu wapate maendeleo.
Bila maendeleo ya vitu hakuna maendeleo ya watu. Bila barabara huwezi kusafirisha nondo wala cement kupeleka site.
Bila hospital huwezi kuwa salama hata kama milionea. Maana utaumwa hutapata matibabu..kumbuka pia huna hata barabara wala uwanja wa ndege.
Bila umeme dunia itakuacha..utakuwa kama umefungiwa kisiwani.
Bila kuwekeza kwenye vitu kama mashule na vyuo utatengeneza taifa la wajinga.
Watu tunahitaji ututengenezee miundo mbinu tu..chakula, mavazi na malazi tutatafuta wenyewe.. kama naweza ishi morogoro nafanya kazi dar nina uwezo wa kwenda na kurudi kila siku kwa kutumia treni ya umeme badala ya kujazana dar na kuongeza gharama za maisha.