Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Kumbe siku hizi maendeleo ni kuishi nyumba nzuri na kuvaa vuzuri!! Hilo sio jukumu la serikali ndugu!.Maendeleo maana yake ni:-
-Maendeleo ya watu (watanzania)
Kuishi nyumba nzuri
Kuvaa vizuri
Maji safi na salama
Elimu bora
Afya bora
Uhakika kuishi kwa amani, bila hofu, kukosolewa na kukosowa kwa uhuru bila vitisho, kuumizana, kufungana, nk
Maendeleo ya vitu hayakidhi viwango kuitwa maendeleo popote duniani endapo njaa, maradhi, ujinga na umaskini bila kuwepo usawa na haki, nisawa na kujaza maji ndani ya gunia yakivuja muda wote yasijae.
Duh..kweli black lives matter. Sasa maendeleo ya watu yanaanzaje kuja bila maendeleo ya vitu.Maendeleo maana yake ni:-
-Maendeleo ya watu (watanzania)
Kuishi nyumba nzuri
Kuvaa vizuri
Maji safi na salama
Elimu bora
Afya bora
Uhakika kuishi kwa amani, bila hofu, kukosolewa na kukosowa kwa uhuru bila vitisho, kuumizana, kufungana, nk
Maendeleo ya vitu hayakidhi viwango kuitwa maendeleo popote duniani endapo njaa, maradhi, ujinga na umaskini bila kuwepo usawa na haki, nisawa na kujaza maji ndani ya gunia yakivuja muda wote yasijae.
Usisahau miezi mitatu ya kulipwa mishahara ya bure full bila kufanya kazi.Miaka5 ya kazi za kutoongeza waalimu mishahara
Nasikitika kwamba kadiri siku zinavyosonga, ujinga wa wasomi wetu unaongezeka Kwa Kasi ya hatari SanaMaendeleo ya vitu hayakidhi viwango kuitwa maendeleo popote duniani endapo njaa, maradhi, ujinga na umaskini bila kuwepo usawa na haki, nisawa na kujaza maji ndani ya gunia yakivuja muda wote yasijae
Tena hao wa kimya kimya wengi wanaogopa kuponda ndio maana wanasoma na kupita kimya kimya.Wanaosoma kimya kimya je mbona huwataji
Duh..kweli black lives matter. Sasa maendeleo ya watu yanaanzaje kuja bila maendeleo ya vitu.
Hata wakoloni walianza na maendeleo ya vitu ikiwemo kujenga reli na mashule.
Nyerere alishughulikia na miundo mbinu ili watu wapate maendeleo.
Bila maendeleo ya vitu hakuna maendeleo ya watu. Bila barabara huwezi kusafirisha nondo wala cement kupeleka site.
Bila hospital huwezi kuwa salama hata kama milionea. Maana utaumwa hutapata matibabu..kumbuka pia huna hata barabara wala uwanja wa ndege.
Bila umeme dunia itakuacha..utakuwa kama umefungiwa kisiwani.
Bila kuwekeza kwenye vitu kama mashule na vyuo utatengeneza taifa la wajinga.
Watu tunahitaji ututengenezee miundo mbinu tu..chakula, mavazi na malazi tutatafuta wenyewe.. kama naweza ishi morogoro nafanya kazi dar nina uwezo wa kwenda na kurudi kila siku kwa kutumia treni ya umeme badala ya kujazana dar na kuongeza gharama za maisha.
Kumbe siku hizi maendeleo ni kuishi nyumba nzuri na kuvaa vuzuri!! Hilo sio jukumu la serikali ndugu!.
Mbona una akili nyembamba sana weye?Weye namna gani vipi?Kumbe siku hizi maendeleo ni kuishi nyumba nzuri na kuvaa vuzuri!! Hilo sio jukumu la serikali ndugu!.
Hilo sikupingi mkuu!Ila serikali inawezesha kwa kutulipa mishahara mizuri na kutengeneza mazingira ya ajira
Watu wanaangalia vitu vingi tu.Yaani uishi Morogoro na ufanye kazi Dar, kisha uwe unakuja Dar daily ndio kuokoa gharama. Kwa vyovyote iwapo utaishi Morogoro na kuja kufanya kazi Dar, nauli mpaka eneo lako la kazi itafika 300,00@month. Sasa kwa hela hiyo si bora upange nyumba hapa hapa twn ya 200,000? Fanya utetezi mwingine ila sio huu boss.