zagamba deo
Member
- Oct 27, 2014
- 52
- 28
Na Mackdeo shilinde
Wana-Ubungo nawasalimu kwa jina la Yesu kristu wa Nazareth na Mtume Muhammad (SAW).
Binafsi Ni miongoni wa vijana ambao tunafatilia kwa umakini wa hali ya juu, siasa na kampeni zinazoendela Jimboni.
Labda nianze kwa uchambuzi wa namna gani aibu na fedhea iliyo kumkuta diwani na meya aliye maliza muda wake ndugu yangu Boniface Jacob.
DHAMBI YA UBAGUZI
Nimefatilia Sana mikutano na underground kampeni anazo fanya Boniface,kwa kweli zinakatisha tamaa kwa mtu mwenye uweledi lakini pia zinafurahisha Sana kwa mtu mwenye kufata bendera au asiyetambua maendeleo yake na ya vitu pia.
Kwenye mkutano wa manzese Boniface alijinadi na kuomba kura kwa kusema yeye Ni mzawa, na kuwambia watu wasichague wagombea wengine kwa sababu ya uzawa,kwa kweli nilisikitishwa Sana kwa kauli ya uchovu wa kisiasa iliyotolewa na kijana ambaye yupo kwenye uringo wa siasa kwa muda mrefu,lakini sio kwa kusema majukwani tu pia anapita kwenye vijiwe na nyumba za watu na kuwahubiria ubaguzii Kama hu.
Wajuzi wa Mambo huwa Wana sema hi dhambi itaenda kumtafuna mwenyewe na wana-ubungo watakwenda kuthihirisha hilo Oct 28.
Hi fedhea ya kuwabugua watu kwa itikadi ya uzawa wana-Ubungo wanatumia Kama kigezo Cha kumuadhibu mbaguzu huyu wa Ubungo siku ya kupiga kura.
AIBU!
Nitangulize pole kwa Boniface kwa aibu anayokumbana nayo kwa Sasa.
Lakini pia niwape pongezi kwa wakazi wa Ubungo kwa kujitambua.kuwauliza wagombea wanao watembelea maswali ya msingi na yatakayo Jenga Ubungo waitakayo.
Baadhi ya maswali anayokumbana nayo bwana Boniface na yamekuwa Moto kwake Ni hayo:-
(1) Tulikupa dhama ya kuwa diwani na Ukawa meya je nijambo gani ulitufanyia wana-Ubungo? Au ni kero gani ameshawahi kuzitatua?
Aliambiwa angalau ataje kero tano ambazo amewahi kuzitatua wakati akiwa meya,kijana mwenzangu alikosa jibu na akabaki na ÀIBU!!
Lakini ukumbuke Boniface kwenye kila kampeni zake anasema atakwenda kutatua kero za watu wa ubungo
(2)Uliunda vikundi hewa na wanachedama wenzako na vikaenda kuchukua hela za mkopo kwa msahada wako,je hizo fedha ulizifanyia Nini??? Mtu mzima yule akabaki anatumbua macho. AIBU!
(3) kushirikiana na mbuge aliye maliza muda wake mlichukua fedha za mfuko wa Jimbo na kuzitumia kwa matumizi yenu binafsi,je hizo fedha ulizifanyia nini. AIBU!
Na ndugu zangu wa Ubungo hizi fedha za mfuko wa Jimbo la Ubungo ndio zilizokuwa chanzo Cha ugomvi mkubwa Kati ya Said kubenea aliye kuwa mbunge wa kipindi hicho na Boniface,kwa ukaribu wa Jacob na mbowe ukapelekea Jacob na kushinda Vita na kupelekea kubenea kufukuzwa chama na kukimbilia ACT.
(4) Swali Hili ndio lilikuwa pasua kichwa kwake,alistahajabu na kukumbwa na Aibu pale mkazi mmoja wa manzese alipomuuliza, Alipata wapi fedha za kujenga majumba makubwa ya kifahali wakati kwenye kampeni zake yeye anajinadi Ni mwananchi anaye ishi maisha ya kawaida?
Kiukweli Jacob akutegemea Kama atakutana na Swali Kama Hilo Tena kwenye ngome yeye anaamini Ni ya kwake (manzese).
Mwisho
Ndugu zangu wa Ubungo #Oct28 twendeni tukamchague kiongozi Bora mwenye maono ya mbali ya kutatua kero za wana-Ubungo,kiongozi ambaye atakuwa baba mlezi wa Jimbo,mwenye huruma,mpenda watu wote bila kujali itikadi za vyama vyao, mwenye hofu ya Mungu na lakini mwenye kutanguliza maslai ya Ubungo na sio maslai ya tumbo lake na matumbo ya familia yake.
Na huyu si mwingine ni Kitila Mkumbo