Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,408
- 4,392
Mbeya kwa Wasafwa ndiyo maana Tulia tunampiga mapema kabla ya sadaka ya misa ya kwanza.
Mkuu uchaguzi mwaka huu ni Jumatano usije ukakosea siku...japo naamini tarehe huwezi sahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya kwa Wasafwa ndiyo maana Tulia tunampiga mapema kabla ya sadaka ya misa ya kwanza.
Tuonyeshe wa Kitila Mkumbo?!Tatizo la huyu jamaa ni ujuaji, na ndio maana watu kwenye mikutano yake hawaendi
View attachment 1591991
Uwezo wa kujenga hoja hana ndio maana alikimbia ACT...CCM hata ukiwa bubu unabebwa,Ukiwa mzinzi(Anfifiro) unabebwa,Ukiwa Mwizi unabebwaMkuu mpe kura kitila Mkumbo halafu utakuja kuona maendeleo ya ghafla ktk jimbo lenu
Kiufupi jamaa anakarama ya uongozi nampenda sana jinsi alivyo na uwezo wa kujenga hoja
Over
Lisu tunasikia ni msudaniMeko tunasikia ni mrundi
..Boniface Jacob amefanya kazi kubwa sana kama diwani na meya wa manispaa ya ubungo.
..Katika mameya wote wa manisapaa za jiji la Dsm, Boniface Jacob anashika nafasi ya kwanza kwa utendaji.
..Wananchi wa ubungo wasipoteze kura zao, wamchague Boni kwa kura za kishindo.
Nimesema Kitila anauwezo wa kujenga hoja pia siyo mbinafsiUwezo wa kujenga hoja hana ndio maana alikimbia ACT...CCM hata ukiwa bubu unabebwa,Ukiwa mzinzi(Anfifiro) unabebwa,Ukiwa Mwizi unabebwa
Ukabila umehamia kwenye siasa Rasmi,mnaenda kutambika?Kauli hizi zinadhihirisha kuwa siasa chafu nchi hii imerejeshwa na watu wabaguzi na waliofilisika kisera.Wasafa wamefurushwa pale mjini kwahiyo Tulia ana nafasi nzuri ya kumshinda huyo Mkinga!
Angekuwa sio mbinafsi angebaki ACT kujenga chama badal ya kauhadaika kwa vipande 30..pia alitakiwa akagombee kwa SIngida ilka kwa sababu ya ubinafsi wananchi kule wamemkataa kahamia mjini...Nimesema kitila anauwezo wa kujenga hoja pia siyo mbinafsi
Hata rafudhi yake ukiichunguza vizuri Ni ya kikenya kabisa.Lisu nasikia Ni mkenya
Kwani mkoa wa dar una asilimia ngapi ya watu ambao ni wazawa, wengi ambao wako dar wametoka sehemu nyingine hivyo hiyo hoja ya wazawa haina maana yoyoteKwenye uzawa namuunga mkono, hata Meya wa Dar au Mji wowote ule ni vizuri awe amezaliwa na kukulia kwenye mji husika
Kwani mkoa wa dar una asilimia ngapi ya watu ambao ni wazawa, wengi ambao wako dar wametoka sehemu nyingine hivyo hiyo hoja ya wazawa haina maana yoyote
Unajua akina “Mrema” au “Maluli” originally ni watu wa wapi? Hoja ya uzawa ama la ni non issue kabisa..Kitila angeachwa agombee huko kwao Singida, halafu huku Ubungo angeachwa hata Sypirian Mrema au Emmanuel Maluli ambao walipata kura chache.
Boniface Jacob ni mnyakyusa siyo mzawa wa Mzizima!
Sina takwimu kamili lakini nachoona kila sehemu ambacho nilikaa au kuzunguka naona wengi siyo wazawa wa hapa dar, hata shughuli nyingi za kiuchumi zinasimamiwa na ambao ni watukujaAsilimia kubwa ya wakazi wa Dar wamezaliwa na kukulia Dar, hivyo ni wazawa wa Dar, na kwa maoni yangu mimi Mbunge au Meya wa eneo fulani anapaswa alielewe eneo analotaka kuliongoza vizuri sana, na hii inawezekana tu kama Mgombea akiwa amezaliwa na kukulia au hata tu kukulia eneo husika, na hii ni kwa Mikoa yote Tanzania ilipaswa iwe hivyo, mimi siwezi tu kutoka hapa na kutaka kwenda Meya wa Tunduma au Arusha wakati sipajui Tunduma au Arusha, sizijui changamoto zao, sijui watoto shule wanahitaji nini, n.k., ...
Bila unafiki, ukimsikiliza Kitila Mkumbo (PhD) kwenye jukwaa then ukaenda kwa Boni utaona tofauti kubwa sana. Nadhani shule na exposure vinachangia. Boni haelezi strategies zake (what, how, when...)
Ubungo ni kama imetengwa kimyakimya hasa kwenye miundombinu ya barabara za mitaani. Na hili la wabunge wa CHADEMA kukimbia jimbo kila wanapomaliza muda na kuchota mafao yao imekuwa moja ya sababu zinazowakera sana wana Ubungo
Boniface anaweza kuadhibiwa kwa makosa (real or perceived) aliyofanya Kubenea
Asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wamezaliwa na kukulia Dar, hivyo ni wazawa wa Dar, na kwa maoni yangu mimi Mbunge au Meya wa eneo fulani anapaswa alielewe eneo analotaka kuliongoza vizuri sana, na hii inawezekana tu kama Mgombea akiwa amezaliwa na kukulia au hata tu kukulia eneo husika, na hii ni kwa Mikoa yote Tanzania ilipaswa iwe hivyo, mimi siwezi tu kutoka hapa na kutaka kwenda meya wa Tunduma au Arusha wakati sipajui Tunduma au Arusha, ...
Sina takwimu kamili lakini nachoona kila sehemu ambacho nilikaa au kuzunguka naona wengi siyo wazawa wa hapa dar, hata shughuli nyingi za kiuchumi zinasimamiwa na ambao ni watukuja
Sina takwimu kamili lakini nachoona kila sehemu ambacho nilikaa au kuzunguka naona wengi siyo wazawa wa hapa dar, hata shughuli nyingi za kiuchumi zinasimamiwa na ambao ni watukuja