Uchaguzi 2020 Kampeni za Boniface Jacob (CHADEMA) zinasikitisha, anaomba achaguliwe kwa kigezo cha uzawa

Uchaguzi 2020 Kampeni za Boniface Jacob (CHADEMA) zinasikitisha, anaomba achaguliwe kwa kigezo cha uzawa

Nadhani si hoja kama mleta mada, Mbunge ni diwani pia inafaa awe mwenyeji eneo husika kujua vema mahitaji na kero eneo husika.Bony go... umewashika pabaya washindani wako. Itapendeza sana uwepo wako mjengoni kichwa chako ni sawa na wapiga makofi 50.
Mwalimu Nyerere alisema ukianza kubagua watu kwa namna yoyote hile hi dhambi Ni mbaya Ni sawa ukianza kula nyama ya mtu kamwe hutoacha.

Mpaka boni anakimbilia hoja ya uzawa maana yake ameshikwa pabaya na prof na anachokifanya Ni kuomba kura za huruma kwa watu wa Ubungo
 
Kabla ya kuleta hoja ya uzawa,Je yeye au wazazi wake ni wazaramo au wandengereko? Au na yeye au wazazu wake wamekuja na 'taa moja'?
 
Kwenye uzawa namuunga mkono
Mwalimu Nyerere alisema ukianza kubagua watu kwa namna yoyote hile hi dhambi Ni mbaya Ni sawa ukianza kula nyama ya mtu kamwe hutoacha.

Mpaka boni anakimbilia hoja ya uzawa maana yake ameshikwa pabaya na prof na anachokifanya Ni kuomba kura za huruma kwa watu wa Ubungo
 
Salamu zako umezifungamanisha viumbe viliwi vinavyofanana na vinavyotofautoana. Wanafanana kwa kuwa wote ni wanadamu na mitume kwa imani yetu.

Wanatofautiana kwa kuwa mmoja ni Mungu na mwengine ni mwanadamu kwa imani yenu.

Hili ndilo jambo muhimu zaidi kwa uliyoyaeleza.
 
..Boniface Jacob amefanya kazi kubwa sana kama diwani na meya wa manispaa ya ubungo.

..Katika mameya wote wa manisapaa za jiji la Dsm, Boniface Jacob anashika nafasi ya kwanza kwa utendaji.

..Wananchi wa ubungo wasipoteze kura zao, wamchague Boni kwa kura za kishindo.
 
Mkuu mbona humuongelei Magufuli kule usukumani au hufuatilii vikubwa au hivi vidogo ndio unaviona
 
Haa ahaa hakika MATAGA mmekamatika mwaka huu mlidhani jina lake alitapita mkamalizia ela yenu yoote ya kampeni kwa kumuonga Beatrice(Mkurugenzi) baada ya kuwaingiza choo cha jeshini kuwa atahakikisha anamkata. Ikashindakana mkajaribu kumzuia kufanya kampeni hola...Tatizo hamjaelewa siri ya kwanini wanaubungo wanamtaka yeye. Pamoja na mazuri yake Bonny ana sifa nyingine ya mvuto kama alivyokuwa nayo Lowassa 2015 kulinganisha na huyo sijui kitila Kitumbo ambaye akiwa anaongea ni kama mtu aliyelailia mbege kwanza hatumuelewagi anongea nini ..yaani hata mvuto tu hamna. Mvuto ni muhimu saana kwenye siasa. Jiulizeni kwanini Lisuu hajajenga hata calavart moja lakini wananchi wanampenda kuliko JIWE
 
CCM tumechemka kumleta mtu kutoka Singida aje kugombea Ubunge Ubungo, wakati kuna wana-CCM wazawa wa hapa Ubungo.

Alichokisema Bonny ndiyo maoni ya wengi hapa Ubungo.

Kitila angeachwa agombee huko kwao Singida, halafu huku Ubungo angeachwa hata Sypirian Mrema au Emmanuel Maluli ambao walipata kura chache.
 
Haa ahaa hakika MATAGA mmekamatika mwaka huu mlidhani jina lake alitapita mkamalizia ela yenu yoote ya kampeni kwa kumuonga Beatrice(Mkurugenzi) baada ya kuwaingiza choo cha jeshini kuwa atahakikisha anamkata. Ikashindakana mkajaribu kumzuia kufanya kampeni hola...Tatizo hamjaelewa siri ya kwanini wanaubungo wanamtaka yeye. Pamoja na mazuri yake Bonny ana sifa nyingine ya mvuto kama alivyokuwa nayo Lowassa 2015 kulinganisha na huyo sijui kitila Kitumbo ambaye akiwa anaongea ni kama mtu aliyelailia mbege kwanza hatumuelewagi anongea nini ..yaani hata mvuto tu hamna. Mvuto ni muhimu saana kwenye siasa. Jiulizeni kwanini Lisuu hajajenga hata calavart moja lakini wananchi wanampenda kuliko JIWE
Mkuu mpe kura Kitila Mkumbo halafu utakuja kuona maendeleo ya ghafla ktk jimbo lenu

Kiufupi jamaa anakarama ya uongozi nampenda sana jinsi alivyo na uwezo wa kujenga hoja

Over
 
Huo mda ulioandaa kuandika huo utumbo kama aliyekutuma hakulipi basi we ni mjinga ,huwezi kuandika utumbo kama huo mwingi,chadema Dar es salaam wana mkakati mzuri hawataki kelele za majukwaani ni nyumba kwa nyumba ,subiri tar 28 kama utawaona wabunge wa CCM wakipita
 
Huyu jamaa angebaki kwenye nafasi yake ingependeza, alafu miaka mitano ijayo achukue hiko kiti ingekua saafi saana. Sasa naona kma anajichosha na lile gwanda juani na safari boot.
 
Back
Top Bottom