Uchaguzi 2020 Kampeni za Boniface Jacob (CHADEMA) zinasikitisha, anaomba achaguliwe kwa kigezo cha uzawa

Asilimia kubwa ya wakazi wa Ubungo ni wa asili moja na akina Lamwai, Mrema, Keenja na Mmassy.
Point ilikuwa kwamba hoja ya uzawa haina mashiko sana na ni bora Boniface akatumia hoja tofauti tena nyingi alizonazo

According to you, kama ‘mrema au Mmassy’ anafaa Ubungo, basi hata ‘Mkumbo au Karumanzila’ nao wanafaa, afterall anaangaliwa mtu, sifa zake na ameishi eneo husika kwa muda gani
 

Sawa
 


Ikiwa wewe niu mwanaume, lazima una hormones nyingi za kike....una wivu wa kike sana wewe
 
Huyo kitila aende kwao akale nyama za punda
 
Uzawa ndyo kitu cha msingi ukitaka kuchagua mwakilishi wa jimbo, kata, mtaa au kijiji. Mtakuwa wapumbavu kuchagua mwakilishi ambaye sio mzawa wa eneo husika ambaye. Mzawa ndyo anajua machungu, mahitaji, na matatizo ya eneo lake. Ndyo maana siku hizi wabunge wakishachaguliwa jimboni wanarudi kampain zikikaribia.
 
Basi hata rais asiwe mzawa wa Tz. Hata mkimbizi anaweza kuwa rais ilimrad anaish tz.
 
Asee amekosA sera kbsaaa ??
Kwan Elimu ni kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…