Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Mi nadhani vigogo na wastaafu wa ccm waturudishe chimwaga kuteua mgombea mpya!huyu aliepo hata akishinda anaweza asimalize miaka mitatu kutokana na kupumzishwa pumzishwa kila mara asije akapumzika mazima halafu tukapata hasara ya gharama ya uchaguzi mpya !!!
 
Upinzani mdogo this time sio kama Lowassa time... Nchi ilizizima

Viva Magu 2020 to 2030
 
Ule moshi wa kule Lindi uliharibu mambo.
Sala za Watanzania juu ya umwagaji damu za watu.
Hazita muacha salama.. Maandiko yana sema Usiuwe...
Maandiko tena yakasema kila ajikwezae ata shushwa. Na kila ajishushae Mungu atamuinua.
Maandiko yaka sema tena. Bwana wa Mabwana(Mungu) awatuma mkawaongoze watu na sio kuwa tawala. Ccm wao wana tawala. Sasa Mungu anakwenda kuwapa Watanzania Kiongozi na sio mtawala..
 
Rais ana tatizo la moyo ambalo kwa siku za karibuni limekuwa kubwa maradufu.
Wenye matatizo makubwa huwa wanaenda kutibiwa kwa mashoga wenzao na kurudi wakiwa na vyuma mwilini! Wazima wanadeliver hata wasipoonekana!
 
Mikutano ya kampeni ya CCM ni ya ajabu sana. Juzi nilikuwa naangalia uwanja wa Mkapa nikaona karibia 90% ya walioingia pale walikuwa wamevaa nguo za chama na Zanzibar pia hivyo hivyo. Hii inamaanisha kwamba hamna wananchi wa kawaida wasii na upande wanaoenda kusikiliza sera za chama tawala. Sasa sijui wanatudanganya sisi wananchi au wanajidanganya wenyewe. Wakae wakijua sisi wananchi tarehe 28 tuna jambo letu na matokeo watayapata.
 
Akifanya kampeni kila siku hatapata watu Wa kujaza uwanja,ndo mana anapumzika ili makada wapate muda Wa kukusanya wannchi kwa kuwagawia t-shirts na kofia na buku tanotano.column ikishatimia ndo mze baba anaambiwa akapige kampeni mahali husika.
Maana kumtoa mtoa Simiyu mpaka Dar kwa lorry ni safari ya siku kadhaa
 
JPM hana sababu ya kufanya kampeni, kazi kubwa ilishafanyika yeye ni kufuatilia kuona anapata viongozi zaidi wa CCM kuanzia ngazi ya chini ili kufanya maendeleo kwa Watanzania.
 
Wote hao uliowataja, labda Bulaya, anaweza shinda waliobaki, wana hali mbaya sana
 
Hata mimi ningepumzika, hakuna upinzani siyo kama 2015, hata foreign media tu hazitangazi chochote na hakuna anayejua hata kama Tanzania kuna uchaguzi mwezi huu hata hapo Kenya tu hawajui, ...
Kama alipiga push up kwa mgonjwa lowasa,Sasa Yuko taabani kwa TL.Mungu anatupenda sana
 
Kampeni ya CCM inafanywa kisayansi. Nashangaa huoni hayo. Wajumbe wa Kamati Kuu na JPJM wamepangiwa ratiba kamilifu. Kwenye majimbo na kata pia mipango kamilifu. Ngoja tarehe 28 mwezi
huu uone kimbunga. Ujumbe wa CCM umewafikia Watanzania vizuri tuu na nyie wote mtaisoma namba. Ila kama kawaida yenu mtasema mumeibiwa kura!! Kwa lipi mlilofanya mtegemee wawachague??? Kwa uongo kuwa maendeleo ya vitu hayaleti maendeleo ya watu, kweli!!!! Hatudanganyiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…