Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Hata mimi ningepumzika, hakuna upinzani siyo kama 2015, hata foreign media tu hazitangazi chochote na hakuna anayejua hata kama Tanzania kuna uchaguzi mwezi huu hata hapo Kenya tu hawajui, ...
Kwani tbc yenu haisikiki nje ya mipaka ya nchi? Nawapenda Sana mataga kwani yanalazimisha kubaki matagani ilihali akili na nafsi zao zipo upinzani! Mfano mzuri ni wewe unayelalamika vyombo vya habari kupigwa super glue mdomoni na ccm kutokuripoti lolote!
 
Sasa kwa akili ya kawaida unategemea ccm watashinda bila kutumia ubavu , mapanga na mitutu ya bunduki ?

Ccm hawakubaliki na kila nwananchi mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuu mwaka huu uongo ndiyo mtaji wenu. Hivi JPJM na TAL nani mzalendo??? TAL anataka kuuza nchi yetu kwa kukumbatia Wazungu. Ilani yao itaweka dhamana madini yetu kwa Wazungu. Kila siku anatetea sera za makaburu wanaotaka kuja kupora mali zetu. TAL tayari Novemba hii atakimbilia Belgium. Anahamasisha fujo ole wako ukikubali ushauri huo maana atakuacha solemba. TAL anamini anayezungumza Kiingereza ndiyo bomba; huyu bado mtumwa wa Mabeberu.
 
Wapi ambapo hajaenda?
Uliambiwa kuwa ataanza j tatu kwa dar mikutani miwili kisha anasepa mikoa mingine sasa wewe unahangaika na mtu ambae keshashinda?
Mshindani ndo hayupo kabisa ni kerere tu ndo anazo.
"kerere"
 
hiv kwan mtu asipumzike? ynajua jins hata nchi inavoendelshwa?
mafanikio ya awamu ya 5 yanajieleza unataka kutyharibia kwamza tarehe 13 tunapokea bilion 100 zetu.
usituharibie. endelleen na wenu ambaye hachoki.
shida ipo wap mzee?
wewe mtu akiwa na majukum mengine nyeti na confidential unataka uelezwe leo Rais yupo huku?
general trem unaambiwa tu.kwwnda kalale
 
Mimi naona si kwamba zimepwaya lakini wamegawana sana kila kona wapo wanapiga kazi
 
 
Watumishi tunamuangalia tu tukutane 28/10
 
Staili mpya ya maccm kuomba kura ili kula wakishapata tu kuwaona Hadi uchaguzi ujao
 

Attachments

  • IMG_20201011_214103.jpg
    44.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201006_123555.jpg
    96.1 KB · Views: 1
Hadi wenyewe wanaccm wanasema bora atoke
 
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
kuna kazi za urais pia anatakiwa kuzifanya
 
Gari la mkaa. Tripu moja porini, tripu inayofuata gereji.
 
. Kwanjinsi inavoonyesha wewe ndo maskini Mjinga na mpumbavu wa kwanza hizo connection za wazungu ndizo zinawaliza Libya na Sudan mpaka leo Bora hata ungesema atasimama mwenyewe mbn CDM mtaleta Vita ambayo haina ulazima nakuhakikishia Lisu hatoona k2 ikulu cyo office ya Kijiji my friend
 
Wengi wa wanaolia Libya ni wale waliokuwa wamezoea kulamba miguu ya watawala mirija imekatika.
 
Ukiona mpinzani wako anasikitika vile unavyoendesha mambo yako hadi kufikia hatua ya kukushauri cha kufanya ili ushinde wewe jua tuu ni ulishamshinda, yaani wewe ni mshindi

Hongera kwao CCM
Na kweli kabisa mimi ni mpinzani ila uchaguzi huu hakuna ushindi sijui hata kama tutapata robo ya kura alizopata Lowassa tupo mitandaoni sana mtaani hatuonekani kabisa.
 
. Na kweli kabisa Mimi Ni mpinzani ila uchaguzi huu hakuna ushindi cjui hata Kama tutapata robo ya kura alizopata lowasa tupo mitandaoni Sana mtaani hatuonekani kbs
Tupo mitandaoni mitaani hatuonekani hahaa,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…