Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Anapumzika kwa sababu ndio ushauri aliopewa na daktari, kama anajiamini mwambie apige tena zile "push up" zake uone kama uchaguzi haujaahirishwa.
Hivi ccm ile chopper waliyokuwa wanai post post mitandaoni wataanza lini kutumia rasmi ?
Au walikuwa tu wanawaiga Chadema, waige na kutotumia mabango basi kama wana ubavu
 
Huko sahii mkuu,asilimia hizo zatoka wapi?
 
Acha upumbavu wewe kama huna masikio basi hata macho huna utafiti gani umefanya wewe sijui uko dunia gani watu watakucheka ccm hadi sasa ushindi ni asilimia 90 na zaidi watanzania wote wanaelewa hivyo.
 
CCM itashinda kea kishindo huo ndo ukweli kwa watanzania wote wanaamini hivyo.
 
Mbona kila siku ubora na uboya unazidi kujitenga.

Magufuli anazidi kupata Credit za ushindi kila siku zinavyozidi sogea.

Ombi, Msisusie Huu uchaguzi kama mlivyofanya kwenye serikali za mitaa baada ya kuona mnaenda kuloose.
 
Kukosekana kwa katiba nzuri Policeccm Dola na Raia wasio na uelewa wa kisiasa, wapumbavu, wajinga na masikini basi CCM itashinda uchaguzi.
Hao ndiyo wapiga kura za NDIYO na HAPANA pamoja na kwamba huwathamini ana kuwatii kama binadamu huru.
 
Hata mimi ningepumzika, hakuna upinzani siyo kama 2015, hata foreign media tu hazitangazi chochote na hakuna anayejua hata kama Tanzania kuna uchaguzi mwezi huu hata hapo Kenya tu hawajui, ...
Mainstream media zote zinaonyesha madaraja ila this time mtajua kuwa hamjui
 
Pumbaffff at hii nayo ni hoja au kioja!
Kama mkulima aliyepanda mbegu kipindi cha jua wakati wa mavuno kwa nini asipumzike?
 

Ccm wana kura zao hapo Jamana Printers. Hiyo 80% wanayosema ndio hiyo waliyoiagiza tume isiyo huru ya uchaguzi iwatangaze. Wameshavipanga vyombo vya dola ili kuhakikisha wanalinda ushindi haramu.
 

Aya ya mwisho inawajumuisha buku 7 bila kuwasahau mawinga wao mahiri akina bia yao na jane lengai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…