Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Hao mnawasingizia magu katamka mwenyewe anaomba kusuguliwa
20201011_113603.jpg
hawa ndio wasuguaji waliashindikana
 
Hivi hapa Ccm mna anzaje kuomba kura hapa?
Miaka 60 mkiwa kwenye utawala.. Bado hatuna maji. Huku mkisema hamta peleka maendeleo kwa wspinzani.
Sasa hili ni jimbo la Ccm tangu uhuru hadi leo. Hayo ni maendeleo?
Screenshot_20201011-140015.jpg
 
Wewe nawe mzito kuelewa, kumwambia Tundu ajitoe ni sawa na kumshauri namna bora ya kufanya kampeni?
Tundu alishauriwa aachane na habari ya kutaka dola asubiri kazi ndogo ndogo baada ya 28102020
Pole sana kwa kujifanya wajua hata usiyoyajua
 
Anapumzika kwa sababu ndio ushauri aliopewa na daktari, kama anajiamini mwambie apige tena zile "push up" zake uone kama uchaguzi haujaahirishwa.
Kama kampeni zake zimepwaya, hamkupaswa kulalamika,mngeichukulia Hali hiyo Kama advantage kwenu ili mshinde uchaguzi huu.
 
Nakwambia akipiga kampeni siku 10 mfululizo tunamwimbia parapanda! Atatugharimu kusogeza mbele uchaguzi bora aendelee kwenda gereji tu kila baada ya siku 2.
Usisahau kuwa, hata gari lenu mlilonunua kutoka Belgium lina vyuma Kama vyote tu.
 
Ndo tegemeo lao hao insta kumejaa vijembe vya harmonize na mond wala hawaongelei sera za ccm wacha wasanii watumie kutafuta kiki kwenye mikutano ya ccm
Mikutano ya CCM Ni fursa kwa kila raia yeyote anaejitambua, wakiwemo wasanii.
 
umenijumuisha nami? acha upumbavu wa kusemea watu
Acha upumbavu wewe kama huna masikio basi hata macho huna utafiti gani umefanya wewe sijui uko dunia gani watu watakucheka ccm hadi sasa ushindi ni asilimia 90 na zaidi watanzania wote wanaelewa hivyo.
 
Maendeleo aliyofanya ni 70% ya kampeni saizi anamalizia 30% iliyobaki kwa kupanda majukwaani kuomba kura. Mwamba ameshashinda mioyoni mwa wazalendo wote tunasubiri 28 kuthibitisha tu kwenye karatasi
Watanzania wanawaona wapinzani kama inzi sasa
Pole sana kwa kujifanya wajua hata usiyoyajua
Wafuasi wa Tundu mna taabu kubwa. Mnajipa cheo cha kumjua Magufuli zaidi hata ya anavyojijua yeye nwenyewe
 
Watanzania wanawaona wapinzani kama inzi sasa

Wafuasi wa Tundu mna taabu kubwa. Mnajipa cheo cha kumjua Magufuli zaidi hata ya anavyojijua yeye nwenyewe
Umewahi kujiuliza watanzania wanawaonaje wafuasi wa CCM???? Anything rubbish/useless in life = CCM
 
Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.

Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.

Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.

Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
Mgonjwa huyo hana uwezo wa kusimama zaidi ya nusu jukwaani saa , gari la mkaa liko gereji .
Screenshot_20201010-233514.png
 
Back
Top Bottom