macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna mambo ambayo yameifanya kampeni hii iwe tofauti kabisa na ya mwaka 2015.Endeleeni kumdanganya ila siku ya kulia mlie wote.
1. Mwaka 2015 udhaifu wa Lowassa kwenye majukwaa ulifanya Magufuli aonekane kama yuko fiti sana kwenye kupiga kampeni.
2. Magufuli alipatwa na jambo kubwa la kiafya kipindi anafanya mikutano mikoa ya kusini (wakati ilipovumishwa anaumwa na amepelekwa nje kwa matibabu) hivyo sasa hivi hawezi kufanya mikutano mingi
3. Utafiti uliofanywa kwenye site unaonyesha Magufuli hakubaliki na watu wengi. Hili limemfanya aone kampeni ni kama kupoteza muda na badala yake muda mwingi unatumiwa kuandaa mikakati ya siku ya kupiga kura.
4. Umati unaohudhuria mikutano ya Magufuli ''unavutwa'' kwa kutumia fedha na mali nyingi kiasi ambacho ni vigumu kufanya mikutano ya mara kwa mara.