Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

Watanzania tuna roho mbaya sana aise. Sijawahi ona. Mtakufa wenyewe na magufuli ataishi kwa jina la Yesu Kristo.
 
Viva Magu 2020 to 2030
IMG-20200930-WA0018.jpg
 
Wakati wengine wanaonekana wanasali/wanaswali Polepole yeye anachokonoa simu yake kwa mkono wa kulia huku mkono wa kushoto ukihesabu hela...kuna jambo hapo.
Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji
View attachment 1589363
Labda mambo ya gereji
WanaCCM wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani.
Ajabu nini hapo.
Nimesikia jamaa anachukua tena likizo fupi ya kampeni, itakuwa hali tete kiafya.
Masharti ya mganga hayo Mkuu 😂😂
Acheni uzushi, maji ya Shein
Ha ha ha mwenye macho haambiwi tizama. Kwanini glass ipewe kiti??
 
Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji
View attachment 1589363
Mia siajona Glass bali namuona sura ya sokwe akisoma message ya changudoa wake wa Sinza wakati wenzake wakisali.. Hivi huyu jmaa ni mzee,mtu wa makamo au kijana? mie huwa sielewi kabisa ukimumabgalia usoni unaweza ukadhani mzee wa miaka 55 kumbe hajafikisha pengine
 
Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji
View attachment 1589363
Kuna kitu kinaitwa protocol ama itifaki huu ni utaratibu maalum kwajili ya arrange event yoyote official kuna vitu vingi huzingatiwa moja ni seating arrangement namna ya ukaji nani akae wapi na kwa nn meza kuu iwe na watu wangap na akina nani hivo basi kwa hapo unaeza kuta seating arrangement inaruhusu viti vitano tuu ukiweka saba tuu jukwa linakataa ama kwa udogo wa jukwa ama kwa sababu za kiusalama hivo itakulazm utumie viti vinne na hivo hivo kwa swala la Meza
Ya maji ikisema uweke kila kiti na meza yake ya maji inaeza fanya meza kuu itifaki kua dis organised ama kuleta shida katika mambo ya kiusalama na kulazm mtu moja atumie Meza na kii itifaki pale atatakiwa kutumia senior ambae kimsingi ni mwenyekiti wa chama
Nadhani utakua umenielewa mpaka apoo
 
Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji
View attachment 1589363
Mia siajona Glass bali namuona sura ya sokwe akisoma message ya changudoa wake wa Sinza wakati wenzake wakisali.. Hivi huyu jmaa ni mzee,mtu wa makamo au kijana? mie huwa sielewi kabisa ukimumabgalia usoni unaweza ukadhani mzee wa miaka 55 kumbe hajafikisha pengine
Ana miaka 58 ni mtu mzima anaeza kua baba yako kabisa sema mwili wake ni wa mazoezi ndo mana anaonekana kijana
 
Mi nashauri tufanye siasa za kistaarabu,,hamna haja ya kupondana,kukebihana,,kama ipo ipo tu,kama hamna ni hamna tu
 
Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji

Kati ya Tarehe 29 na 30 kutatokea jambo moja litakalowafurahisha watz wote wapenda haki na amani ila si la kumshinda kichaa mpenda ngono bali jiwe halitakuwa nasi tena ndani ya tz mpya
 
Hii ndio mnataka kusema watu wasinywe maji kwenye kampeni kama wanakiu??

Mbona mnashindwa kuzungumza mambo ya msingi.
 
Sasa Chadema hawana hoja wana viloja....Subirieni October 28 CCM iwashikishe adabuu.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Back
Top Bottom