Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

😂😂😂😂 ni mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kumuamini huyo ZWAZWA. Chadema itaibaje kura wakati kitengo cha maccm maalum kwa wizi wa kura tumeccm kipo kazini.

Lijuakali...: jinsi chadema tulivyoiba kura..."

Vjva Magu 2020 to 2030
 
Zwazwa mkuu ni chama na wafuasi mliompa ubunge....
Mwenye akili ya ufinyu ni yule aliyemkubari kama Mbunge wake..

Viva Magu 2020 to 2030
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kumuamini huyo ZWAZWA. Chadema itaibaje kura wakati kitengo cha maccm maalum kwa wizi wa kura tumeccm kipo kazini.
 
Ndiyo maana akaondoka baada ya kugundua kama ni ZWAZWA hastahili kuwepo jwa wenye akili na MAZWAZWA wenzie mkapokea. . Acha kutuharibia Kiswahili aliyemkubari ndiyo mdudu gani?

QUOTE="Themagufulianz, post: 36893152, member: 428627"]
Zwazwa mkuu ni chama na wafuasi mliompa ubunge....
Mwenye akili ya ufinyu ni yule aliyemkubari kama Mbunge wake..

Viva Magu 2020 to 2030
[/QUOTE]
 
Kama ccm watawapa NCCR mageuzi viti vyao maalum basi wanaweza kujaribu kuwepo bungeni lakini siyo kuongoza upinzani!!!
 
Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji.

Wengine wanapiga dua, Polepole yuko busy na simu

View attachment 1589363
Ahsante sana mtoa post. Tulisema CCM itafanya kampeni mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, kata kwa kata, mtaa kwa mtaa, nyumna kwa nyumba, mtu kwa mtu. Naona na wewe CCM imekufikia na unaisaidia kufanya kampeni. Tafadhali endelea kusambaza picha hii kwenye mitandao mingine ili kuwafikia wengi zaidi ili Oktoba 28 waweze kuikumbuka na kuipa kura CCM. Ahsante sana kijana!
 
Back
Top Bottom